Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Uko sahihi aliiba kura

Angeliiba kira Mbowe angeweza kufanikisha ule mtadi wake wa kuwakata mishara wabunge wa cdm. Kilamanjaro wabunge wahanga wa huu mradi wa makao makuu cdm ni wengi. Kama wangeibiwa kura wasingekuwepo bungeni kufunga midomo na plasta. Wakati wanajua wanalipwa kwa kodi za Watanzania kwa kazi ya kufungua mdomo uwasemee.
 
Yeye mwenyewe akiwa Moshi Leo anawaambia hawawezi kupewa hadhi ya jiji kwakua niwapinzani?huu siubaguzi ? Hubiri mnachoweza kutenda Mara kadhaa amebagua kwa uwazi kabisa kwakujisifia kutopeleka maendeleo kwawaliochagua wapinzani.Team ya CCM mshaurini mwenyekiti wenu kabla yakuongea
 
Magufuli sio mgombea wa kupewa ridhaa tena ya kuongoza watanzania. Wakimchagua walai watalimia meno
 
Itakuwa hajui maana ya ubaguzi si bure.
 
Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!

Yeye alikuwa anapiga kampeni, sasa ulitaka aseme chagueni yeyote wakati anakinadi chama chake cha ccm?
Kwani Lisu anaposema msichague wana ccm huwa anakuwa anaeneza ubaguzi
Lissu hajasema atakapokua rais hspeleki maendeleo walipochagua ccm. Magufuli amerudia mara nyingi kutamka kwamba hapeleki maendeleo kwa wapinzani. Ka kauli hizo magufuli ni MBAGUZI MKUBWA. Hafai kuwa rais.
 
Kila mkutano wa kampeni viongozi wa dini wapo na wengine wameombea vyama kura. Tuanze na Mufti na Shekhe wa DSM. Moshi leo kulikuwa na Mkuu wa KKKT na wengine. Balance discussions zako
Kuombea mkutano na kuleta udini ni vitu viwili tofauti, chadema na act wanaleta udini, rejea lisu anazunguka na ponda kutangaza "eti kura zetu waislam wote kwa lisu" muislamu/waislamu gani waliowatuma lisu na ponda wake kutuwakilisha waislamu wa nchi hii, kama sio udini huu ni nini? Wameshindwa uchaga na ukanda sasa wamehamia kwenye udini!!!
 
..maeneo ya kimara walibomolewa kwasababu wako ktk jimbo la mpinzani.

..mwanza Magufuli akasema wasibomolewe kwasababu wako kwenye jimbo linaloongozwa na ccm.
Uongo hakuna aliyebomolewa kwa sababu yeye ni mpinzani, nenda kasome sheria za ardhi vizuri, nenda kasome sheria zinazohusiana na hifadhi za barabara vizuri.
Kama jengo la shirika la umma limebomolewa unasemaje kuna upendeleo? Jitafakari vizuri.
 
Anayemwamini huyu ana Brain Disorder.
 
DSM alirekodiwa kiongozi wa dini alitaka Waislam wachache CCM. Lissu akajibu kivingine. Jino kwa Jino. CCM tuachane na hizo issue vinginevyo wenzetu wakijibu mapigo tunalialia.
 
Jiwe kawa Mbaguzi na mwenye chuki za wazi wazi kabisa hata kufikia kutoa matamko hadharani yaliopelekea Mh Lissu kushambuliwa kwa risasi mchana kweupe. Nami tar 28/10 nitaonyesha ubaguzi wangu kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…