Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Alitakiwa azikatae hata kodi zao
 
Kauli hizo unaweza kuwaambia vilaza tu. CCM msaidieni mtu wenu. Mwambieni ajaribu angalau kutumia lugha ya ushawishi. Kwamba mimi na akili zangu nikamchagua mbunge ninayemtaka halafu unambie nimejichanganya nitaona kama umenitukana vile na kura yangu hupati n'go!
 
Hii ID imepotea kabisa.

Jamaa sujui aliahidiwa ukatibu kata Lisu akishinda maana sio kwa kupambana kule.
 
Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.

Kwa haya maneno nawaambia mtashangazwa hiyo October 2020 mkiona Lissu anampiga vibaya huyu mtu wenu kwenye Sanduku la kura!!
Mkuu Oktoba imeshapita.
Hali ipoje huko mitaani?
 
Hivi hizo kura amezikosa? Imeisha hiyoooooooooooo
 
Hii ID imepotea kabisa.

Jamaa sujui aliahidiwa ukatibu kata Lisu akishinda maana sio kwa kupambana kule.
Kwa sababu nyie huko kwenu Ccm mnafanya vitu ili mpate vyeo au mkumbukwe mnafikiri kila mtu yupo hivyo??? Umekosea sana. Sifanyi jambo kwa kutegemea cheo. Natetea kweli na haki.
 
Yapo wapi?
Kivipi??? Si mmeiba haki za watanzania kupata viongozi wanaowataka??? Sasa subirini kama mtaweza kutibu kiu ya watanzania au ndo mtaongeza chuki zaidi kwa watanzania.
 
Kwa sababu nyie huko kwenu Ccm mnafanya vitu ili mpate vyeo au mkumbukwe mnafikiri kila mtu yupo hivyo??? Umekosea sana. Sifanyi jambo kwa kutegemea cheo. Natetea kweli na haki.
Sijawahi kuwazia ishu ya cheo mkuu, mwaka wa 8 huu nipo Hapa JF naipigania Chama na Serikali.

Pia wanaofahamu the real man behind the ID hawafiki hata mkono mmoja.
 
Sijawahi kuwazia ishu ya cheo mkuu, mwaka wa 8 huu nipo Hapa JF naipigania Chama na Serikali.

Pia wanaofahamu the real man behind the ID hawafiki hata mkono mmoja.
Kwani nani anafahamu my real ID?? Niko hapa for nearly 6 years and no one knows my real ID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…