Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Kungekuwa na tume huru usingeropoka hivi, ungekuwa na adabu.
 
Reactions: BAK
JPM JPM JPM Rais mzalendo. tutamchagua kwa kura nyingi Oct 28
 
Mwizi ni MWIZI tu mbambaishaji aliyekubuhu.
 
Ushahidi wa UBABAISHAJI na wizi wa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU huu hapa.

Jikumbushe mpambano wa Ubunge kati ya Mwl. na Mkemia Magufuli na Mkulima Phares Kabuye

 
Uliwahi kufahamu jiwe aliyeanzia kugombea ubunge Biharamulo alishindwa mara ngapi?

Uliwahi kusikia Phares Kabuye?

Pia uliwahi kujua Jimbo la Chatto liliasisiwa vipi ndiyo akapata kufika bungeni?

Hivi huyu domo zege pale usengeremani Kemia alikuwa akifundisha kwa lugha gani?

Eti hajawahi kushindwa. Labda kama hajawahi kushindwa kuuwa!
 
Magufuli mbona ameshindwa sana we unaishi sayari ipi, ameshindwa kuwapa vijana ajira,ameshindwa kuongeza mshahara kwa watumishi wa uma,ameshindwa kuongeza mzunguko wa fedha kwa wananchi,ameshindwa kushusha bei bidhaa za ujenzi,ameshindwa kuwatafuta wasiojulikana wanaowatesa na kuwa ua watanzania, Mln 50 kwa kila kijiji ameshindwa kwa ujumla mzee ni msanii tu kashindwa anategemea tu hisani ya tume na polisi kushinda na atashindwa tu hakuna namna,ni Lisu2020
 
Mshukuru sana Mungu kwa kukupa huyo unayemwita jiwe kuwa rais wako vinginevyo ungeshakufa kwa CORONA, msongo wa mawazo au kwa njaa
Hahaha mungu yupi? Jiwe ndilo limefanya watanzania wasife na corona? Jiwe ndo linawalisha msife na njaa? Vilaza mna matatizo sana, em acha kunipotezea muda peleka watoto wako shule wasije kua na kama akili zako. Wenye mawajo ya ovyo hivi ndiyo sababu hadi leo Tanzania bado ipo hapo ilipo, kila kitu ovyo mnaenda kwa mazoea badala ya logic. Nonsense. Usijisumbue kunijibu ninakublock baada ya hii reply sina muda na brainwashed p*****ies
 
Tundu Lissu hajawahi kushindwa kama alikishinda kifo mlicho kusudia hapo unataka ushahidi gani kuwa Lissu ndiye mshindi?
 
Acha vituko wewe!

Kama Lowasa mlimdekia hadi barabara, mtu ambae Lisu ma chadema nzima walimnanga kwa miaka 8, sembuse Magu?
Bado naona unacheza mtunje tu,jibu hoja za mleta hoja.
 
S
Safari hii huenda akashinda njaa
 
 
Utakuja pata hearheart attack ufe, uhifadhiwe mochwari, uzikwe uishie kukosa shangwe la tarehe 29102020

πŸ˜‚πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸΉπŸΈπŸ·πŸ₯‚πŸ»πŸ₯ƒπŸΎπŸΊπŸŽ‚πŸ«
 
Mwaka 1985 na 1990 Magufuli aligombea ubunge kule Biharamulo, sasa kama kwenu kuna wazee kilichompata huyo magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kijani kibichi CCM mwaka huu hamuibi kura ndani ya nchi kibano n'nje ya nchi kibano mabeberu kibano ,sijui mtapitia wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…