Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.
Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-
(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-
Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);
(ii). Ziara za ndani:-
Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;
(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;
(iv). Ajali za barabani - zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;
Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.
Rai yangu:-
Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.
Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10

Uliwahi kufahamu jiwe aliyeanzia kugombea ubunge Biharamulo alishindwa mara ngapi?Wakuu, salaam!

Nawasilisha kwa hatua zenu hapo
Magufuli mbona ameshindwa sana we unaishi sayari ipi, ameshindwa kuwapa vijana ajira,ameshindwa kuongeza mshahara kwa watumishi wa uma,ameshindwa kuongeza mzunguko wa fedha kwa wananchi,ameshindwa kushusha bei bidhaa za ujenzi,ameshindwa kuwatafuta wasiojulikana wanaowatesa na kuwa ua watanzania, Mln 50 kwa kila kijiji ameshindwa kwa ujumla mzee ni msanii tu kashindwa anategemea tu hisani ya tume na polisi kushinda na atashindwa tu hakuna namna,ni Lisu2020Wakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.
Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-
(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-
Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);
(ii). Ziara za ndani:-
Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;
(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;
(iv). Ajali za barabani - zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;
Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.
Rai yangu:-
Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.
Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10
ni kama lakini siyoRais Magufuli ni kama aliteremshwa na Mungu kuja kuikomboa Tanzania
ni kama lakini siyo
kama reply yako kwenye my observation on Magu has naver failed ni hiyo basi your reasoning ability ipo so low mkuuTatizo hamtaki kuambiwa ukweli
Hahaha mungu yupi? Jiwe ndilo limefanya watanzania wasife na corona? Jiwe ndo linawalisha msife na njaa? Vilaza mna matatizo sana, em acha kunipotezea muda peleka watoto wako shule wasije kua na kama akili zako. Wenye mawajo ya ovyo hivi ndiyo sababu hadi leo Tanzania bado ipo hapo ilipo, kila kitu ovyo mnaenda kwa mazoea badala ya logic. Nonsense. Usijisumbue kunijibu ninakublock baada ya hii reply sina muda na brainwashed p*****iesMshukuru sana Mungu kwa kukupa huyo unayemwita jiwe kuwa rais wako vinginevyo ungeshakufa kwa CORONA, msongo wa mawazo au kwa njaa
Tundu Lissu hajawahi kushindwa kama alikishinda kifo mlicho kusudia hapo unataka ushahidi gani kuwa Lissu ndiye mshindi?Wakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.
Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-
(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-
Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);
(ii). Ziara za ndani:-
Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;
(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;
(iv). Ajali za barabani - zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;
Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.
Rai yangu:-
Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.
Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10
Jamaa wanajifanya kupotezeaMagufuli amewahi kushindwa ktk kura za maoni za CCM alipotia nia ya ubunge kwa mara ya kwanza mwaka 1990.
Kavimbiwa na makandeSisi tenaaa tulinde kura za CCM? Utakua unatania.
Asante sana mkuu kwa kutupatia ukweliAcha UONGO. Marhemu Phares Kabuye alimshinda mara 2 kwenye Ubunge. Ama umezaliwa mika ya 2000? Hata Lissu atamshinda kura
Bado naona unacheza mtunje tu,jibu hoja za mleta hoja.Acha vituko wewe!
Kama Lowasa mlimdekia hadi barabara, mtu ambae Lisu ma chadema nzima walimnanga kwa miaka 8, sembuse Magu?
Safari hii huenda akashinda njaaWakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.
Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-
(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-
Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);
(ii). Ziara za ndani:-
Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;
(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;
(iv). Ajali za barabani - zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;
Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.
Rai yangu:-
Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.
Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10
Wakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.
Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-
(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-
Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);
(ii). Ziara za ndani:-
Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;
(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;
(iv). Ajali za barabani - zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;
Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.
Rai yangu:-
Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.
Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10
Utakuja pata hearheart attack ufe, uhifadhiwe mochwari, uzikwe uishie kukosa shangwe la tarehe 29102020Hahaha mungu yupi? Jiwe ndilo limefanya watanzania wasife na corona? Jiwe ndo linawalisha msife na njaa? Vilaza mna matatizo sana, em acha kunipotezea muda peleka watoto wako shule wasije kua na kama akili zako. Wenye mawajo ya ovyo hivi ndiyo sababu hadi leo Tanzania bado ipo hapo ilipo, kila kitu ovyo mnaenda kwa mazoea badala ya logic. Nonsense. Usijisumbue kunijibu ninakublock baada ya hii reply sina muda na brainwashed p*****ies
Mwaka 1985 na 1990 Magufuli aligombea ubunge kule Biharamulo, sasa kama kwenu kuna wazee kilichompata huyo magufuliWakuu, salaam!