Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi.

Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.

"Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi"
 
Wananchi ili wasijekujuta kwa kuwa ni mtu wa visasi, basi dawa wamnyime kura yeye kwanza alafu wanawanyima na hao wagombea Ubunge na udiwani.
 
Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Ubunge na Udiwani

Magufuli amewaambia hebu wasimchague kisha waone kisha akaendelea kuongea Kisukuma
Magufuli ni kiongozi mwepesi sana na muoga mno ! huyu hawezi mdahalo wowote na yeyote .

Nawasikitikia sana wananchi waliomuumbua leo maana ni lazima watakamatwa
 
Back
Top Bottom