chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Wananchi ili wasijekujuta kwa kuwa ni mtu wa visasi, basi dawa wamnyime kura yeye kwanza alafu wanawanyima na hao wagombea Ubunge na udiwani."Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi"
Tume haidiriki kulitaja bure jina la Magufuli.Duh... Kaongea kisukuma!??... Hii tume waje watoe maelezo Kama Ni sahihi au...
Tz Ni wamoja nchi moja.
Kazi hasaHuyu jamaa ana akili ka za raia wa zama za mawe.
Magufuli ni kiongozi mwepesi sana na muoga mno ! huyu hawezi mdahalo wowote na yeyote .Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Ubunge na Udiwani
Magufuli amewaambia hebu wasimchague kisha waone kisha akaendelea kuongea Kisukuma
Ni twin brothers tofauti yao ni kuwa Mobutu alikula bata la uhakika kuanzia pamba.Apishani na Mabutu Seseseko
Dada leta videoHuko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Ubunge na Udiwani
Magufuli amewaambia hebu wasimchague kisha waone kisha akaendelea kuongea Kisukuma