Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

Yaani unataka kusema alikumbuka mambo aliyofanyiwa miaka ya 80's? Na akaja kulipa kisasi? Na alimfanyia nini huyu jamaa?

Yes, hivyo ndivyo alivyo. Hata ikatokea akatangazwa yeye mshindi, Tundu Lissu sijui itakuwaje. Hawezi futa kisasi nae maisha yake yote.
 
Ndiyo kuna kila sababu ya kuhakikisha huyo dhalimu harudi Ikulu.
Nchi yetu.tunampeleka ikulu kwa maamuzi yetu halafu anatutisha eti atatutelekeza na maendeleo hatupi.tena kwa kodi zetu wenyewe..yuko sawa huyu mzee?
 
Reactions: BAK
Hayuko sawa hata chembe huyo anayejiita KICHAA. Hakustahili kuingia Ikulu 2015 na hastahili kuingia Ikulu 2020. Angalia alivyoivuruga Nchi ndani ya miaka mitano tu! Uchumi wa Nchi uko chaliiii furaha tuliyokuwa nayo Watanzania sasa sasa imepotea na Nchi yote imejaa hofu kubwa kutokana na utawala dhalimu ambao unatumia kundi la wahuni na wauaji maarufu kwa wasiojulikana linaloteka, kutesa na hata KUUA Watanzania wasio na hatia.

Nchi yetu.tunampeleka ikulu kwa maamuzi yetu halafu anatutisha eti atatutelekeza na maendeleo hatupi.tena kwa kodi zetu wenyewe..yuko sawa huyu mzee?
 
Yeye mwenyewe aliwahi kutuambia ali beep simu ika kataa kukatika. Means alijaribu na kweli imeligharimunTaifa. Rais mbaguzi wa kanda na kabila.
 
hawajatishwa bali wameelezwa ukweli.....maaana ccm ndio chama kinacho tawala....hivyo mkichagua wapinzania mtakuwa mmejimaliza wenyewe.......sahau maendeleo. bali mkitaka maendeleo chagua Rais wa Ccm Mbuge wa ccm na diwani wa ccm
pumbafu hela za maendeleo wantoa ccm acheni ujinga
 
Kutishia wapigakura ni kosa, sio tu sio ustaarabu!! Na wananchi wametambua kutishwa kiasi hata kwa wingi wao hakuna anayepiga kelele za kukataa. Wote wameacha fyokofyoko!!

What a sad state of affairs!!
 
Ni mshangao mkubwa tena wa kustaajabisha kiongozi wa nchi kuzungumza vitu vya kibaguzi bila hofu kabisa!

Wakati Magufuli akiapishwa, aliapa 'kutenda haki kwa watu wote bila upendeleo wala chuki'.

Hili la kunyima huduma za jamii kwa misingi ya ufuasi wa kisiasa ni ubaguzi na upendeleo wa wazi kabisa kinyume na Kiapo cha Utii na hatari kwa umoja wa kitaifa. #Uchaguzi2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…