Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechukia sana kuzomewa
Nilimpenda jamaa mwanzoni,ila alikuja kuni disappointe baadayezidi kufuatilia kwa karibu mkuu..
taratibu utamwelewa JPM
Magufuli awatishia wananchi baada ya kumkataa mgombea wa CCM live
Mwananchi anasikika akimlaumu mbunge wa CCM kuwa akipewa kura huwa haonekani.. naye mbunge anarudisha lawama kwa Magufuli kuwa ali ahidi maji na hajatekeleza ahadi yake.. Magufuli anasema ataleta maji ila wamchagulie mbunge yule yule
katika video hiyo Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma
MY TAKE..
Huku issue ya watumishi, kule issue ya kujisingizia kubagua majimbo ya upinzani kumbe hata ya CCM ni choka mbaya.
Na bado atazomewa sana tu. Ngoja afike maeneo fulani ya Nyanda za Juu Kusini.Amechukia sana kuzomewa
Umeongea uongoMagufuli awatishia wananchi baada ya kumkataa mgombea wa CCM live
Mwananchi anasikika akimlaumu mbunge wa CCM kuwa akipewa kura huwa haonekani.. naye mbunge anarudisha lawama kwa Magufuli kuwa ali ahidi maji na hajatekeleza ahadi yake.. Magufuli anasema ataleta maji ila wamchagulie mbunge yule yule
katika video hiyo Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma
MY TAKE..
Huku issue ya watumishi, kule issue ya kujisingizia kubagua majimbo ya upinzani kumbe hata ya CCM ni choka mbaya.
Mwishowe atatangaza ajira kwa jeshi la akiba woote waajiriweIla ile ni fedheha kubwa kwa kiongozi wa nchi, wananchi tujirekebishe mnampa msongo wa mawazo kiongozi Mkuu wa nchi, namna ile haifai
Too late kwasababu hana cha kupoteza tena na wakilogwa wakampa nafasi tena hana sababu ya execute hilo funzo.Huu Uchaguzi unampa funzo kubwa Sana Magufuli kama ni mtu wa kujifunza
Ndio wako hivi ccmhuyu ndio kiongozi wa kutuletea maendeleo ama kweli ccm imevamiwa na kutekwa na interahamwe
Kubwa ni kujua wananchi wanamchukulia vipi.Too late kwasababu hana cha kupoteza tena na wakilogwa wakampa nafasi tena hana sababu ya execute hilo funzo.