Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

Interesting! Dar, Zanzibar, Kanda ya Ziwa kumbe wameshamkataa?
 
Ngoja wananchi tumpige nje hapo oktoba ili na yeye akubiri kuteuliwa
 
Yaani kwamba watu waliojitokeza kugombea ndani ya chama dhidi ya Mpango ni watu wajinga na wasahau kuhusu kupata nafasi kukitumikia chama au serikali! Hii ni akili au matope? Mbona mnakuwa wajinga hivi? Kuna watu ni wa ajabu sana!

Hii ni kuonyesha kuwa ndani ya ccm kwenyewe hakuna demokrasia. Nyerere angekuwa hivyo Mwinyi adingekuwa rais na Salim angekuwa rais! Kwa mtaji huu ccm inahitaji kukombolewa.
 
sasa naona sio kampeni tena ni kama ubabe tu

halafu hivi kwani nani alimwambia kila mtu analilia kuteuliwa na yeye?View attachment 1572549
siasa za ajabu san
Yaani huyu JPM tafsiri yake ya demokrasia anaifahamu yeye tu. Yaani yeye hakuna kitu kama competitive politics ndani na nje ya chama. Kama anataka hivyo ni kazi rahisi tu. Kwanza afute mfumo wa vyama vingi ibaki CCM tu. Pili abadili katiba ili yeye awe ndo anateua wabunge. Hakuna haja ya uchaguzi. Haya yote yako ndani ya uwezo wake.
 
Tumekuwa na Rais wa hovyo kupata kutokea, yaani ana akili za chini sana. Wa Tz jamani mwaka huu ni mwaka wa ukombozi.
Kwa kumuweka nani?? Maana unatakiwa kwa na mbadala bora zaidi sio kuweka Yule anayosema muungano wetu ni batili wakati yeye ni mtu aliye somea sheria na muungano wetu hauna tofauti na uingereza, lakini sijawahi kusikia mtu wa England akienda Scotland na kuongea ujinga kama mgombea moja wa hapa kwetu.
 
Hahaha Amchukue Mpango ampeleke Chato, huko Buhingwe hawamtaki huyo Mpango.
 
Wewe umesoma kuliko Mpango ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…