Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

Dar es salaam keshajionea isivyomtaka Yuko anaruka ruka mikoani

Tanzania maeneo matatu tu yanatosha kumshikisha adabu kujijua Sio presidential material kwa kushindwa kura

Kanda ya ziwa, Dar na Zanzibar Ni dose tosha kwake

Lisu akipata kura laki nne nifukuzwe jamii Forums
Interesting! Dar, Zanzibar, Kanda ya Ziwa kumbe wameshamkataa?
 
Ngoja wananchi tumpige nje hapo oktoba ili na yeye akubiri kuteuliwa
 
Yaani kwamba watu waliojitokeza kugombea ndani ya chama dhidi ya Mpango ni watu wajinga na wasahau kuhusu kupata nafasi kukitumikia chama au serikali! Hii ni akili au matope? Mbona mnakuwa wajinga hivi? Kuna watu ni wa ajabu sana!

Hii ni kuonyesha kuwa ndani ya ccm kwenyewe hakuna demokrasia. Nyerere angekuwa hivyo Mwinyi adingekuwa rais na Salim angekuwa rais! Kwa mtaji huu ccm inahitaji kukombolewa.
 
sasa naona sio kampeni tena ni kama ubabe tu

halafu hivi kwani nani alimwambia kila mtu analilia kuteuliwa na yeye?View attachment 1572549
siasa za ajabu san
Yaani huyu JPM tafsiri yake ya demokrasia anaifahamu yeye tu. Yaani yeye hakuna kitu kama competitive politics ndani na nje ya chama. Kama anataka hivyo ni kazi rahisi tu. Kwanza afute mfumo wa vyama vingi ibaki CCM tu. Pili abadili katiba ili yeye awe ndo anateua wabunge. Hakuna haja ya uchaguzi. Haya yote yako ndani ya uwezo wake.
 
Tumekuwa na Rais wa hovyo kupata kutokea, yaani ana akili za chini sana. Wa Tz jamani mwaka huu ni mwaka wa ukombozi.
Kwa kumuweka nani?? Maana unatakiwa kwa na mbadala bora zaidi sio kuweka Yule anayosema muungano wetu ni batili wakati yeye ni mtu aliye somea sheria na muungano wetu hauna tofauti na uingereza, lakini sijawahi kusikia mtu wa England akienda Scotland na kuongea ujinga kama mgombea moja wa hapa kwetu.
 
Hahaha Amchukue Mpango ampeleke Chato, huko Buhingwe hawamtaki huyo Mpango.
 
Wewe umesoma kuliko Mpango ?
Anampenda Mpango kwasababu ni mtu ambae ni wa kujipendekeza na mwoga. He is not professional, he will only tell JIWE what he wants to hear. The real professionals walikuwa Ndullu and Likwelile; hao walikuwa wanampa ukweli juu ya hali ya uchumi wa nchi na yeye hakuweza kumeza ikabidi warudi kushika chaki!
 
Back
Top Bottom