Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Huyu mzee nahisi kuna kitu anakimiss kwenye mambo yetu yale ya Sita kwa sita. Au hapati chakula cha usiku nini?

Mbona anazungumzia sana habari za mambo hayo, wanasaikolojia tusaidieni!
 
Ndugu yangu waislam Wa kweli Turkey, Iran, Syria etc Sheria ni mke mmoja. Saudi, Emirates etc lazima uthibitishe umetimiza mashart. Huku kwetu ni weakness ya mwanamme kuwa anashindwa kuvumilia libido
 
Huyu inaonyesha enzi za ujana wake haku "enjoy" mambo ya mahaba. Kwa sasa ni kama yupo kwenye "supplementary stage", ndiyo maana akili yake ipo ktk masuala ya mademu na ngono kama tu ilivyo kwa vijana wengi wa umri wa kati.
 
Kuna watu wanapenda hii kitu Mh mnamsingizia huo Ni utani tu.....!Kuna kibosile mmoja,jina Kapuni enzi zile Mabibo Hostel alikuwa anaingia bwenini kufuats demu bila ya aibu!
Alikolea na penzi la kigoli haswa! Redio mbao pale maskani zilikuwa zinadai Kibosile yule alimnunulia Hadi nyumba!Kipindi like nyumba za Serikali zinauzwa!
Rais anapenda utani huo...lakini haimaanishi kuwa anapenda Mambo hizo!
 
Aka Juma Pumba Mandondo.
 
Mimi Kama Mwenyekiti wake wa Jumuia na Mwenyekiti wa kamati ya Malezi na Familia, ninamfuta uanajumuia Rasmi.
Nalala kwa: mwenyekiti KT Kanda, Mwenyekiti KT Parokia, Askofu Mkuu ww Jimbo.
 
Kama aliweza kuzaa na shemeji mdogo wa mke wake na akamjengea Kebbys ( Kabula) na wamezaa sembuse kuoa zbar muarabu ?? Kanisa amelishika mkononi .......Labda sadaka zake ...na utemi ...Mama yule amepitia mazito
 
Kwaiyo kuowa wake wawili ni kupenda ngono ?
Fuatilia hotuba zake kwenye misafara hakosi kugusa masuala ya ngono.
Siku yupo kidodi walipolalamikia maji alimwita diwani ni mwanamke,

Akasema amtajie namba katibu wizara ya maji akiwa kwenye simu.
Yule Dada wakati anataja namba, huyu jamaa akatoa tahadhari kwa hadhara ile kuwa msichukue na ninyi namba baadae mkamsumbua huyu mama.

Wakati anafungua crdb bank kule chato, walimkribisha chakula cha usiku wafanyakazi wa bank na idara zingine.

Alipokaribishwa kuongea baada ya utambulisho mke wa manager wa bank alikuwa anapita.
Kama kawaida yake, wapambe wake wanaita kachomekea, Duuh! Mananger unafaidi kweli, watu kicheko.

Hii mifano miwili tu niliyoona na kusikia
Aliyosema nyanda za juu kusini, aliyosema Zanzibar! Na sehemu mbalimbali.
KIMTOKACHO MTU NDICHO KILICHOUJAZA MOYO WAKE
 
Astakafullahi......Maaskofu mmesikia?
 
Halinaga busara hilo! Linamnyanyasa sana huyu mama sijui naye kwa nini hagomi kwenda kwenye hafla za hili dubwasha?
 
Mama Janeth Magufuli shikamoo
 
Hapo alikuwa anatania tu ila magwanda kwa kuwa huwa mnaishi kwa kudandiadandia mshapata cha kuongea. Yaani utopolo kwa kweli hata huwa siwaelewi mimi mjue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…