Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Huwa nawaza mama Janeth ni mvumilivu sana sana.
Chadema wengi hawana akili!

Hivi Magufuli toka aanze kusema hayo imepita miaka mingapi?

Maana kila mkoa anaopita huwa anasema hivyo, je keshafanya hayo?

Mnafikiri Magu ni kama yule mtu wenu kila muda amejaa jaziba na mihasira?
 
Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Kwa hiyo umeandika easy hii yote kujibu hilo tu?

Ni mara ya kwanza magu kusema hivyo? Je keshaoa wangapi hadi sasa?
 
Huyu mzee nahisi kuna kitu anakimiss kwenye mambo yetu yale ya Sita kwa sita. Au hapati chakula cha usiku nini?

Mbona anazungumzia sana habari za mambo hayo, wanasaikolojia tusaidieni!
Sasa toka aanze kuzungumza keshatekeleza?

Unafikiri kama anania hiyo atakuja kutamka hadharani namna hiyo tena kila mkoa anaopita anaahidi kuoa mke wa mkoa huo?

Mbona mambo mengine ni madogo sana ila tumekomaa nayo tu?
 
Wakati mwingine kuna umuhimu wa hiki chama kuandaa watu wake kwa nafasi zake mbalimbali, badala tu ya kuwasukumizia ndani kama ilivyotokea 2015.
Na msukumizwa ndani ndio kiongozi wao
 
Wakati mwingine kuna umuhimu wa hiki chama kuandaa watu wake kwa nafasi zake mbalimbali, badala tu ya kuwasukumizia ndani kama ilivyotokea 2015.
Na msukumizwa ndani ndio kiongozi wao
 
Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
Kwa hiyo atasilimu? Aache kwanza kula kitimoto
 
Back
Top Bottom