Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Halafu kuna wakristo fulani hivi watakwambia Magufuli ni mcha mungu wa kikristo!
Ni uwendawazimu kwa mkristo kuzungumzia kuoa mke wa pili wakati viapo vya ndoa za kikristo zinasema mke mmoja, mme mmoja mpaka kifo.
 
Kama aliweza kuzaa na shemeji mdogo wa mke wake na akamjengea Kebbys ( Kabula) na wamezaa sembuse kuoa zbar muarabu ?? Kanisa amelishika mkononi, Labda sadaka zake na utemi. Mama yule amepitia mazito
Huyo mdogo mtu naye ilikuwaje akazaa na mume wa shemeji yake?
 
Tuliza mshono huyu hagombeia upadri amesema akimaliza nasi tunasubiri tumtie maji aitwe sheikh Yusuph halafu tunampa mke wa pili.
 
Jokes kwa hadhara aliyokuwa nayo muda huo. Take it easy man!
 
Huyu jamaa kabaa Kila sehemu anataka kuoa mara zenji, tunduma, iringa, wagogo n.k
Anausahulifu mkubwa Sana.
 
Huyu ndiye mcha Mungu asiyeheshimu kiapo cha ndoa chake.
 
Duh hatari yani ndio humpendi au humtaki ... hii roho ya mama mwenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…