Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Dah. Kwa kuokoteza hoja kama huku Lisu atatoboa kweli?
 
Huwa nawaza mama Janeth ni mvumilivu sana sana.
Sana ni mvumilivu.Analetewa watoto wa michepuko analea. Aliletewa Jeremiah wa Sundi akiwa na 2 yrs,kamlea mpaka yupo secondary sasa hivi. Kalea kina Suzy mpaka wameolewa. Mimi mwanaume hata kufikiria kuniletea mwanae wa nje aliemzaa nikiwepo hawezi fanya hivyo.
 
Block D mzee alikuwa hakosi. 😂😂
 
Hata kama ni utani kwa hadhi aliyonayo ni vyema kuwa na break maana watoto wake na mkewe wanafatilia hotuba zake nikuaibisha familia tu huko
 
Huyu geresha tu, Mkatoliki hawezi kusema hivyo.
 
Hapo alikuwa anatania tu ila magwanda kwa kuwa huwa mnaishi kwa kudandiadandia mshapata cha kuongea. Yaani utopolo kwa kweli hata huwa siwaelewi mimi mjue.
Usiropoke binti. Sisi tunamfahamu sana huyu bwana. Ukweli ni kwamva amezaa na wanawake wengi sana.

Na wewe ukitaka jipeleke tu, sidhani kama atakuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…