Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi jokes zake haziko vizuri zinamzalilisha mke wake na Imani ya kikristo, Mara asifiwe wanawake weupe mbele ya mkewe na watoto hyo sio nzuri..mzee amezidisha.
..hivi hana washauri?
..hana jokes tofauti, zaidi ya hiyo ya kuoa vibinti?
Sana ni mvumilivu.Analetewa watoto wa michepuko analea. Aliletewa Jeremiah wa Sundi akiwa na 2 yrs,kamlea mpaka yupo secondary sasa hivi. Kalea kina Suzy mpaka wameolewa. Mimi mwanaume hata kufikiria kuniletea mwanae wa nje aliemzaa nikiwepo hawezi fanya hivyo.Huwa nawaza mama Janeth ni mvumilivu sana sana.
Au Rajabu MagufuliWakizaa mtoto ataitwa Mwamedi Magufuli.
Block D mzee alikuwa hakosi. 😂😂Kuna watu wanapenda hii kitu Mh mnamsingizia huo Ni utani tu.....!Kuna kibosile mmoja,jina Kapuni enzi zile Mabibo Hostel alikuwa anaingia bwenini kufuats demu bila ya aibu!
Alikolea na penzi la kigoli haswa! Redio mbao pale maskani zilikuwa zinadai Kibosile yule alimnunulia Hadi nyumba!Kipindi like nyumba za Serikali zinauzwa!
Rais anapenda utani huo...lakini haimaanishi kuwa anapenda Mambo hizo!
Hawajawahi kutengana,sema mzee ni kama alihamia kwa michepuko. Muda mwingi aliishi na nyumba ndogo. Kabula mixer Sundi.Walishawahi kutengana kabla magu hajawa rais
Una picha ya Kabula ?Hawajawahi kutengana,sema mzee ni kama alihamia kwa michepuko. Muda mwingi aliishi na nyumba ndogo. Kabula mixer Sundi.
Ni chuma haswa ngoja niitafute. Kabula kateuliwa ubunge viti maalum wakati kura za maoni alipata kura 84.Alikuwa wa nne na walitakiwa watatu waliopata kura nyingi. Kabula utamwona mbunge viti maalum mkoa wa Mwanza bunge lijalo.Una picha ya Kabula ?
Kila mfano wake lazima qzungumzie mwanamke.Linawaza ngono tu
Ajabu
Huyu geresha tu, Mkatoliki hawezi kusema hivyo.Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.
Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.
Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.
Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.
Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Usiropoke binti. Sisi tunamfahamu sana huyu bwana. Ukweli ni kwamva amezaa na wanawake wengi sana.Hapo alikuwa anatania tu ila magwanda kwa kuwa huwa mnaishi kwa kudandiadandia mshapata cha kuongea. Yaani utopolo kwa kweli hata huwa siwaelewi mimi mjue.
Una picha ya Kabula ?
Mbona hafanan na mama jesca
Huyu hachagui,ni kweli akijipeleka lazima apite nae.Usiropoke binti. Sisi tunamfahamu sana huyu bwana. Ukweli ni kwamva amezaa na wanawake wengi sana.
Na wewe ukitaka jipeleke tu, sidhani kama atakuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bungeni utamwona vizuri. Maana kishalamba Ubunge viti maalum Mwanza.Mbona hafanan na mama jesca
Wapwa,
Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.
Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?
Haki huinua taifa
====
View attachment 1589366aibu vp mtu akiamua kuoa mke wa pili? au ulitaka aseme atakuoa wewe?
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
Wanasema n mdogo wake mama jessy ?Bungeni utamwona vizuri. Maana kishalamba Ubunge viti maalum Mwanza.
Kwa nini afanane na mama Jesca ?