Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Kama hakuna cha kumtisha basi asingeiogopa Tume Huru inayokubalika na vyama vyote pia na Watanzania wanaojitambua Tume Huru ambayo hata marehemu Mkapa aliipigia debe na pia kutaka kura zihesabiwe hadharani kitu ambacho huyo anayejiita KICHAA pia anakihofia.

Utakavyoona
Lakino hakuna Cha kumtisha Magufuli
Nyie ndio mnadanganyana huko barabarani
Kwani tar 28 mbali
hakuna haja ya kubishana matokeo tutayaona
 
Magu kakamatwa pabaya hadi anaomba kura kwa kupiga magoti nimeshangaa Sana hulka ya Maghufuli siyo ya unyenyekevu hivyo,ana hali mbaya na zaidi amezungukwa na wanafiki wengi na miongoni mwao hawatompigia kura.
 
Kutokubali ushauri kwa walio karibu yake madhara yake ndio yanaonekana sasa.
Kutoa kauli zenye maudhi kwa kujua au kutokujua(mfano"wastaafu wengine wana kiherehere").
Watu ambao wangemwambia ukweli watakuwa wanasitasita kumpa ukweli,kwa sababu ya kutotabirika kwake.(mtoa ushauri waweza kugeuziwa kibao).
 
Style za makonda za kujiliza liza mbele za watu.

Najiuliza hivi Rais magufuli aliwaza nini yaani mpaka akafikia stage hii?? Je ni stress?? Ni kukata tamaa??
Hali ni tete!
 
Ila sidhani Magufuli ni wa kuchukiwa na watu hapa iko shida wananchi wengi wamekichoka chama yaani kama magu wamemfanyia hivi ,magu huyu ambaye tulikua tunajua ni mkombozi wetu ,leo kafanana na ccm halisi hakika nauona mwisho wa ccm hauko mbali
 
Hapo hata mi nashindwaga kuelewa haya mambo nayaonaga JF tu mtaani hamna kabisa ila ukifungua JF [emoji23][emoji23] utasema nchi imepinduliwa
Walianzisha uzi wa Kutaka membe awavushe leo uko Wapi, Jukwaa la Siasa JF ni jukwaa la ovyo kabisa kupata kutokea limejaa Propagandists ambao wanajifanya ni Upinzani haswa ile hali wako nyuma ya keyboard hata kutumia Real identity zao wameshindwa ni Majasiri haswa katika fake ID ila ni wepesi zaidi ya nyoya,

Magufuli is there to stay
Mitano Tena uhakika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Najaribu kuona hiki ulichokiandika huku mtaani lakini sioni.

[emoji1319][emoji1319]
Ukweli ni kua Mafuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania na kuna hatari ya ku-mpiku Baba wa Taifa.
Haiwezekani kina mama waliosogezewa maji karibu wakamsaliti , wagonjwa wanahudumiwa vzr na madaktari na manesi wenye nidhamu na wanaojali leo wakasahau kua Magufuli ndie alieleta nidhsmu kazini ,mimi kwangu nitampa KURA kwa umakini na UJASIRI wake uliokomesha kabisa UJAMBAZI nchini. Hata asingejenga barabara wala reli yoyote bado anastahili HESHIMA kwa kupewa kura nyingi kwa sababu ya kusimamia AMANI , leo mabasi yanasafiri saa 24 na hskuna uporaji hata kanda ya ziwa na kule Kigoma na Tabora ilikua mabasi yanaporwa hata kama yamesindikizwa na Askari wa polisi mwenye silaha !
MAGUFULI TUPO PAMOJA ‘MITANO TENA NI LAZIMA’
 
Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani Ikirudi Zizini Wenzake Watajua Hana Mkia.
Naona Sasa Hivi, Ngano Na Magugu Yaliyoota Pamoja Yanakwenda Kuonekana Wazi Wazi.

Muda Ni Mchache Sana Hautoshi Kumeza Mate
 
Hawa aliowaambia kuwa wwnawashwa?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…