Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Wafanyakazi idadi yao hata laki sita hawafiki wakati nchi ina changamoto nyingi sana.

Hao waliojengewa zahanati huko mikoani ni wa muhimu sana kama walivyo hao wafanyakazi.

Upanuzi wa bandari zote na ujenzi wa meli ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi kwa miaka mingi ijayo.
 
Unajenga uwanja wa mabilioni ya fedha huku watu wa hilo eneo miaka yote hawana maji si upumbavu huo.
 
Tanzania haijawahi kupata Raisi kigeugeu kama miongo hii matano

Hakuna wa kuiridhisha nafsi ya kila mtu. Kila rais haswa wa hizi nchi za kiafrika siku zote huwa hafai mpaka akitoka ikulu ndio anaonekana wa maana.
 
Unajenga uwanja wa mabilioni ya fedha huku watu wa hilo eneo miaka yote hawana maji si upumbavu huo.

Vyote ni muhimu na kwa taarifa yako hao wataalam wanaojiunga mifumo ya kisasa ya maji hawaji kwako kwa bodaboda au baiskeli.

Changamoto ni lazima ziwepo na ndio kazi ya serikali kuzifanyia kazi.
 
Mbona sukari hadi leo haijapungua bei?
 
Magufuli mitano tena
 
Wafanyakazi na vijana wa Tanzania mjiandae neema inakuja JPM akiahidi anatimiza.

October 28th twendeni tukamchague Magufuli kwa kura nyingi sana

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
πŸ˜€πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Onen nae hyu tena
 
Rais wetu hataki vitu vya kupangiwa ataongeza mshahara 2027! yeye ni rais anayejiamini sana tofauti na waliomtangulia!
 
" Mimi sipangiwi na Inategemea siku hiyo nimeamkaje"
Huyu kweli aongeze mishahara!! Atanunua ndege nyingine 5 kwa pesa taslim.

Likina swala la ndege pesa ipo ikija issue ya maslahi ya wafanyakazi pesa hamna!
 
Kama kuzungumza ni rahisi, kuliko kutenda, yeye anachofanya ni kuzungumza, kutenda histamine aweza kutenda!

Anafanya massive, gigantic, projects kwa wakati mmoja, bila kujali wafanyakazi wataishije. Eti hakuna hela, zile kauli za nchi tajiri hela zipo, anazikana leo au?

Yeye amekuwa akisema majukwaani hela zipo, miradi ya matrilioni, ila nyongeza kwa watumishi hakuna!

Danganya toto eti ataongeza sasa mishahara! Elephants can fly!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…