Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Mimi mke wangu amelipia kitambulisho Cha machinga,leseni ya biashara na amepewa TIN ya TRA.Analipa Kodi ya mapato na leseni ya biashara pamoja na kuwa na hicho kitambulisho Cha machinga.Angalau warudishe hata hiyo 20 Basi ,ili tubaki kulipa kodi halali!
 
Mkuu wa mkoa alifukuzwa kazi kisa mkoa wake ni wamwisho kupata makusanyo ya vitambulisho vya wamachinga

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukipeleka mifugo (kuku,mbuzi,ng'ombe nk) mnadani wanadai kitambulisho cha tsh20,000
 
Ameanza kunena kwa lugha sio
Tatizo ni kutofuata sheria, sheria iko wazi mzunguko chini ya 4milioni hawatozwi kodi, ni jukumu lako kusimamia hili, sio hadi wakupe 20k ndio uwalinde! Kama unaona wanastahili walipe kodi peleka mswada bungeni hila sio taratibu hizi ambazo hazina baraka zozote!
 
Mkuu wa mkoa alifukuzwa kazi kisa mkoa wake ni wamwisho kupata makusanyo ya vitambulisho vya wamachinga

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

aisee ni mara mia hawa wanaochukua vya wamachinga, hata kama watazila ila wamachina watajua wana cha kujitetea, ufipa sasa pesa znapigwa kuanzia ruzuku, michango ya wanachama na saaahv mna mwendo mpya wa kuchangisha wananchi ila matumizi ama unafuu wa hizo pesa hatuzioni, yaani ni anakula na hakuna kupuliza
 
Kwani hujui kama hizo pesa twataka jenga uwanja mkubwa wapira chato badala ya kumaliza uwanja wandege chato na kununua ndege 11 ambazo pesa zake wala mswaada haukupitishwa bungeni

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hujui kama hizo pesa twataka jenga uwanja mkubwa wapira chato badala ya kumaliza uwanja wandege chato na kununua ndege 11 ambazo pesa zake wala mswaada haukupitishwa bungeni

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

punguza jazba! kuna mengi yanakuja kabla uchaguzi haujafika, kama una presha kajifungie sehem kwanza
 
Sijui wenzangu mnaonaje ila mie naona Kama Jiwe ameshachanganyikiwa na Lissu 😂😂😂😂

Kwa jinsi alivyokuwa anatoa amri mchana kweupe kuwa wamachinga lazima wapewe vitambulisho na akawapiga biti mbaya sana wakuu wa mikoa kusimamia siamini kama leo amezungumza haya 😂😂😂
 
Siyo kama kila mwenye kichwa kikubwa anakili timamu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Utetezi wa Magu umekaa kitoto sana. Hauna chembe yoyote ya mantiki.
Hoja ni kuwa Vitambulisho vya machinga ni vya nini, kwanini havitolewi bure, Pesa ya kuvinunua inakwenda wapi, kwanini kila mwaka mtu avinunue?

Yaani kitambulisho hakina jina wala picha ya muhusika halafu kina expire baada ya mwaka!

Huo ni utapeli wa Ikulu au Ujasiriamali wa mzee Meko.
 
kama vle tunajua michango ya wabunge, ruzuku na saaahv wameanza kuchangisha wananchi pesa wanapeleka wap
Nyie ni mtu mmoja
SEMA una moyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…