Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Nakumbuka Amos Makala alifukuzwa kisa kutokuuza vitambulisho.Kweli umebanwa Magu! Ulisema ukawatishia kuwa RCs, DCs wasipouza vitambulisho watafukuzwa kazi! Nao ili wasifukuzwe, wanawabana wamachinga... hiyo imeshakuwa lazima
KWELI JIWE UMESHIKWA PABAYA johnthebaptist
Why not Century?Akishinda urais
Watanzania wanatakiwa kupewa hati yenye maandishi
CERTIFIED IDIOTS OF THE YEAR.
Mbaya zaidi unanunua bila risiti na wala hatujui hela za vile vitambulisho zilikusanywa na mamlaka gani na zimetumika kwenye nini???Utetezi wa Magu umekaa kitoto sana. Hauna chembe yoyote ya mantiki.
Hoja ni kuwa Vitambulisho vya machinga ni vya nini, kwanini havitolewi bure, Pesa ya kuvinunua inakwenda wapi, kwanini kila mwaka mtu avinunue?
Yaani kitambulisho hakina jina wala picha ya muhusika halafu kina expire baada ya mwaka!
Huo ni utapeli wa Ikulu au Ujasiriamali wa mzee Meko.
Huyu Magufuli akishinda urais,watanzania wenzangu tujiandae kulia.
Kwa nini ashinde.?Huyu Magufuli akishinda urais,watanzania wenzangu tujiandae kulia.
Mbaya zaidi unanunua bila risiti na wala hatujui hela za vile vitambulisho zilikusanywa na mamlaka gani na zimetumika kwenye nini???
Unaweza kuta hela za vitambulisho ndo hizi zinatumika sasaivi na CCM kwenye kampeni kuwalipa kina Zuchu na kubeba watu wahudhurie mikutano ya Jiwe
Kwa nini ashinde.?
Huyo jamaa tushawishi watu wa kijij tu wamkatae...Huku mjini ataisoma namba.
Kwani ripoti ya CAG imesema lolote juu ya pesa za michango ya Chadema??? Tuanzie hapokwani nyie pesa mnazochangisha wananchi tunajua mnapeleka wap? vipi mnazochangisha wananchama wenu? ruzuku je? mbna hazina maelezo mpaka leo, ujue ni pesa za wananchi izo pia
Raisi hana kosa ila watendaji wake wa chini ndiyo wanamuharibia!!Huyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
Yani bora hata usingejibu, maana umeharibu kabisaaaaaMleta mada ndio anajua hilo leo,
Chadema wanachelewa sana kuelewa mambo,
Jambo linafanyika awamu ya nne wanakuja lielewa awamu wa tano,
Hata anayoyafanya sasa Magufuli watakuja muelewa awamu ya sita, mifano ipo mingi ni jambo la kuwavumilia tu hawa wapinzani tulionao kwani wanachelewa kuelewa mambo.
Na hizo pesa ndizo zinazowatesa kwenye kampeni zaoMradi wa vitambulisho vya machinga ulibuniwa ili kuipatia CCM pesa. Pesa hiyo, kwa mwaka huu ndiyo inayotumika kugharamia kampeni za CCM za mwaka huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazingua ungezaliwa!?Huyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
Ukweli ni kwamba watu wananyanyasika sana na hivyo vitambulisho visivyo na hata pichaHuyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
Hapa ndio tunajua kiongozi ni mkweli au sio mkweli, wamachinga wanafuatwa na kuambiwa kama hawana vitambulisho wasionekane maeneo ya biashara halafu anasema sio lazima kweli, aache uongo amezidiwa na sera kumbana kama chupivitambulisho mtu anakata mwenyewe ni Sh 20000'' Dkt John Magufuli, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM.