Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzandiki ni mama yake•Lakini ni waongo na waache uongo… hata sasa unaweza kuja hapa jengo la Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, tuko kwenye kikao tunaendelea kupitia hizo rufaa•
•Waache kutusumbua, sasa wao wanapiga kelele tungetoa hizo rufaa haraka hata hao wabunge wao wasingerudi, waache uzandiki, upuuzi na uongo•View attachment 1570397
Acha kutumia akili zilizoganda.Nashukuru kwa ushauri, hekima Hapa nini, ili niiweke?
Kukosoa mambo ambayo hayajafanywa vizuri na serikali ya awamu ya tano na kuelezea mkakati wa kufanya vizuri, matusi yako wapi, Comrade?! ( kuna comment yako juu hapo, umemuuliza mtu, izingatie wakati ukinijibu!)Kutukanatukana ndio kuwashika watu vibaya?
Kwani ndiye anatoa matusi badala ya Sera?Lissu kawashika watu vibaya mara hii
🙏 Kabisa na hilo hawawezi kamwe kuliongelea. Hawa watu ni wanafiki sana na njia ni kuwapuuza tu. Bogus kabisa.Ujumbe ni kwa wale waliomuita Matiko malaya!
Ahaa Sawa! Jamaa Una akili na hekima sana! Na akili zako hazijaganda, big up, pia keep it up! Kwa sababu kuwa na akili isiyo ganda na hekima ni kutokuhoji chochote, bali kusifu tu!Acha kutumia akili zilizoganda.
Huyu hafai kuwa mkurugenzi wa NEC kwanza ana mahaba na CCM na BWANA YULE•Lakini ni waongo na waache uongo… hata sasa unaweza kuja hapa jengo la Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, tuko kwenye kikao tunaendelea kupitia hizo rufaa•
•Waache kutusumbua, sasa wao wanapiga kelele tungetoa hizo rufaa haraka hata hao wabunge wao wasingerudi, waache uzandiki, upuuzi na uongo•View attachment 1570397
Kwani kataja hayo matusi? Au kamtaja anayetukana? Mbona mnahangaika hivyo?
"Na vitisho ndio huleta uoga na yoga husababisha udictator " maalimu nyerere kwenye uongozi wetu na hatima ya TanzaniaCCM wamezoea kutawala kwa kauli za woga na vitsho.
Tume ya uchaguzi ndio inayosimamia zoezi zima la uchaguzi. Imejiridhisha kuwa mwenendo wa baadhi ya wagombea sio mzuri ivyo wakiwa kama wasimamizi wajitokeza hadharani kuwakumbusha wagombea wote kuzingatia sheria.Kukosoa mambo ambayo hayajafanywa vizuri na serikali ya awamu ya tano na kuelezea mkakati wa kufanya vizuri, matusi yako wapi, Comrade?! ( kuna comment yako juu hapo, umemuuliza mtu, izingatie wakati ukinijibu!)
Comrade, Naomba nioneshe ni wapi Dr Mahera kasema matusi yanatolewa na vyama vya upinzani.Dr Mahera akinisha hayo matusi yanayotolewa na vyama vya upinzani.
Comrade si mmetoka kuambiwa muache matusi?Mzandiki ni mama yake
Kwaiyo maneno ya Lissu yanaondoa uhalali wa tume ya uchaguzi kufanya kazi yake? Ikiwemo kudhibiti mwenendo wa wagombea wakati wa kampeni.Mahela anautani na PENTAGON.
Lissu alisema uchaguzi huu ni wa kihistoria si mwepesi kama wengi tunavyozani.
Tl
Najitahidi kuwafunda makamanda wenzangu ila wanakuwa wabishi.Comrade si mmetoka kuambiwa muache matusi?
Lisu anatukana hadi tume kuwa ya kijinga yenye maamuzi ya kijinga
Aliiporomoshea matusi ifakara