Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Mzandiki ni mama yake
 
Kutukanatukana ndio kuwashika watu vibaya?
Kukosoa mambo ambayo hayajafanywa vizuri na serikali ya awamu ya tano na kuelezea mkakati wa kufanya vizuri, matusi yako wapi, Comrade?! ( kuna comment yako juu hapo, umemuuliza mtu, izingatie wakati ukinijibu!)
 
Huyu hafai kuwa mkurugenzi wa NEC kwanza ana mahaba na CCM na BWANA YULE
 
Vipi kwani BWANA YULE amezidiwa sana ndo mnamsaidia etiee?
 
Kukosoa mambo ambayo hayajafanywa vizuri na serikali ya awamu ya tano na kuelezea mkakati wa kufanya vizuri, matusi yako wapi, Comrade?! ( kuna comment yako juu hapo, umemuuliza mtu, izingatie wakati ukinijibu!)
Tume ya uchaguzi ndio inayosimamia zoezi zima la uchaguzi. Imejiridhisha kuwa mwenendo wa baadhi ya wagombea sio mzuri ivyo wakiwa kama wasimamizi wajitokeza hadharani kuwakumbusha wagombea wote kuzingatia sheria.

Taarifa ya tume haijamtaja Lissu kuwa ndie anayetukana badala ya kueleza sera. Wamerusha jiwe gizani. Wewe umekuja na kusema Lissu kawashika watu vibaya. Maana yake ni kwamba hata wewe unajua kuwa mgombea anayetukana ni Lissu.
 
Mahela anautani na PENTAGON.

Lissu alisema uchaguzi huu ni wa kihistoria si mwepesi kama wengi tunavyozani.

Tl
 
Mahela anautani na PENTAGON.

Lissu alisema uchaguzi huu ni wa kihistoria si mwepesi kama wengi tunavyozani.

Tl
Kwaiyo maneno ya Lissu yanaondoa uhalali wa tume ya uchaguzi kufanya kazi yake? Ikiwemo kudhibiti mwenendo wa wagombea wakati wa kampeni.

Maelekezo ya tume yanahusu vyama vyote mbona chadema peke yenu ndo mnalialia?
 
Lisu anatukana hadi tume kuwa ya kijinga yenye maamuzi ya kijinga

Aliiporomoshea matusi ifakara

Mtaendelea kudhalilishwa na siasa za fuata upepo. Ujinga ni “ukosefu wa maarifa” au “lack of knowledge”. Sio upumbavu au “foolishness” au “stupidity” kama mnavoaminishwa!!

Ulishasikia maadui wetu wakuu wa umasikini, ujinga na maradhi?? Ndio, maamuzi ya kijinga ni pale unapofanya uamuzi bila kufahamu au kuelewa sheria zilizowekwa. Swala hapa ni ufahamu!! Wanaliona tusi kwa sababu wanaumizwa na kuonekana “hawana ufahamu” kuhusu mambo kadhaa, wanajiona wanafahamu. Je kuna mtu aliyewahi kuambiwa “umefeli mtihani” na akasema ametukanwa tusi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…