GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Asad former president wa Syria alifunguliwa kesi kama hiyo miaka 12 iliyopita mpk leo hajafanywa chochote.

Al Bashir, former president wa Sudan alifunguliwa kesi kama hiyo miaka 10 iliyopita na hati ya kumkamata ikatolewa , lkn mpk leo hajakamatwa.

Netanyahu kishajadiliwa mpk Baraza la usalama la Umoja wa kimataifa lkn mpk leo anaendelea kuwashenyenta watu wa Gaza.

Dawa ya Samia ni uMadagascar na kumTraore tu.
 
deep state hao huwa wakina nani tuache story za vijiweni kuna Mambo yapo sasa deep state wangekuepo yasingekuepo Achana na masuala ya Deep state
 
Haha 😂 Leo umejitahidi ku comments bila kuegemea upande wowote, swali la Msingi hoa DS watatekeleza missions bila vitendea KAZI ie personal's.
 
Safi sana naandaa ushahidi wa mauaji ya kibiti yaliyompa aijipi cheo cha juu wakati ni la saba tu na uwezo wake haujai hata bakuli la uji, nautuma siku chache zijazo! Nilikuwa huko wakati haya yanatokea na nilipoteza ndugu na jamaa wengi sana
Pole Sana Kwa kuondokewa na ndugu, kuna watu TZ weledi wao ni wa hovyo Sana, sijui inakuwaje Hadi wanapanda Hadi kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi. Kuna mengi hatuyajui.
 
Atapotea mapema tuu.....watekaji wapo kazini
 
Haha 😂 Leo umejitahidi ku comments bila kuegemea upande wowote, swali la Msingi hoa DS watatekeleza missions bila vitendea KAZI ie personal's.
Sasa we dhani kama unaweza badilisha maafisa usalama watatu kirahisi (na idara ikachukulia poa).

Halafu uweke mtu wako kwa malengo ya kuharibu, nchi. Udhani usalama wa taifa hovyo wameridhia hizo dharau.

Sio muda sijui length ila before 2030 ndio utajua Captain Tesha ni nani; na kama sakata la Imran Kombe ilikuwa bahati mbaya.
 
Umesahau kitu kimoja Bashar Askari wake walivua nguo za jeshi na kumsaliti Rais wao,

Israel na Russia wanamuachia akimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…