Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Hebu tupe hiyo ya kuruka ukuta
Alivyokuwa na mahusiano na madam alifika kabisa, ikawa anaenda kwa madam kama kwake na wakati huo alikuwa hajatengana na mama Mercy (R.I.P) mama akawa anamlia timing baada ya kujua hyo siku mzee ameenda kwa madam mama nae akaingia mzee akatokea mlango wa nyuma akapanda ukuta akaruka huyooooo...kakimbia.
 
Hii niiliskia hii ya kuruka ukuta
Alinyang'anywa na mzungu sio DR.. kwa hiyo alikuwa na hasira nae labda akawa anamtishia, bibi akaomba msaada hunda, ila machache agombee demu never, angeanza kwa madam basi maana pale alifika mpaka kuruka ukuta si mchezo.
 
Duuh hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
F I ni fideline iranga.

acha wajisumbue kuandika kwa kwa code....mimi kazi yangu itakuwa ni ku-decode kila neno.
wasidhani ni wao tu ndio maboni town kitambo. sisi wengine ni maboni town hasa ila tumetulia tuli tunawachora.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
😂 😂 😂
nilijuaga ni maneno ya watu tu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…