Alivyokuwa na mahusiano na madam alifika kabisa, ikawa anaenda kwa madam kama kwake na wakati huo alikuwa hajatengana na mama Mercy (R.I.P) mama akawa anamlia timing baada ya kujua hyo siku mzee ameenda kwa madam mama nae akaingia mzee akatokea mlango wa nyuma akapanda ukuta akaruka huyooooo...kakimbia.Hebu tupe hiyo ya kuruka ukuta