makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Natamani kuwa naizifungua hizi code ila shida mpenzi wa kusoma na mvivu wa kuandika andika.F I ni fideline iranga.
acha wajisumbue kuandika kwa kwa code....mimi kazi yangu itakuwa ni ku-decode kila neno.
wasidhani ni wao tu ndio maboni town kitambo. sisi wengine ni maboni town hasa ila tumetulia tuli tunawachora.