Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

F I ni fideline iranga.

acha wajisumbue kuandika kwa kwa code....mimi kazi yangu itakuwa ni ku-decode kila neno.
wasidhani ni wao tu ndio maboni town kitambo. sisi wengine ni maboni town hasa ila tumetulia tuli tunawachora.
Natamani kuwa naizifungua hizi code ila shida mpenzi wa kusoma na mvivu wa kuandika andika.
 
Mbona wa madongo kuinama nimeelewa !!!!... Tabu sio kufika mjini ila ni kuyafuatilia ya mjini. Fide alikuwa maarufu kwa sababu ya kuwa model kibonge plus alikuwa video vixen pia hivyo, kwa mtu aliyekuwa anafuatilia ya zamani bhasi alimjua mange, tausi likokola, shose, senche,sintah, magesse, miriam ikoa, odemba, mercy galabawa n.k ambao ndo walitikisa kitambo kabla ya kuanza new reign ya madam sepenga na watu wake km uwoya wolper na wengineo
Kumbe mange alitikisaga toka zamani,sio mchezo nimejua juzi tu kwenye mainstergram....hebu endeleeni kutufungua macho wazee..
 
Mbona nilisikia eti wameachana wamebaki kulea watoto na bibie yupo na mzungu mara nikaja kushangaa anachamba michepuko snapchat
Aaah wapi.. mzungu walishindwana naona. Wapo bado na mumewe
 
Kumbe mange alitikisaga toka zamani,sio mchezo nimejua juzi tu kwenye mainstergram....hebu endeleeni kutufungua macho wazee..
Weeee. Mange katikisa sana. Na wao walikua na kundi lao kama walivyo kina Jack na Faraja sasa hivi.
Na kundi lake karibu wote sasa hivi akijiskia kuwachamba anawachambaaaaaa maana sio mashoga zake tena alishagombana nao
 
Daahhh Mange angetulia na siasa asee angekuja kuwa mtu mkubwa sana ila ndio hivyo asili yake ya U-turn ndio inammaliza. Anapenda sana udaku lakini yupo vizuri upstairs. By the way kuna marafiki zake kama mwamvita sidhani kwa sasa wanaeza kaa meza moja maana ni different levels. Mange angefanya kutulia tu
 
Mange akili ipo kweli sema mdomo unamkwamisha. Sio mtu anaejua kunyenyekea atimize shida yake.
Mwamvita kwa yote Mange amemfanyia sidhani kama ataweza kukaa nae meza moja labda Mange amuombe msamaha. Na yule mpare alivyo kiburi sidhabi kama ataweza
 
Alimzingua mbaya hasa ile issue ambayo ilimuhusisha january. Yote kwa yote ila Mange alikuwa ashapata coverage kubwa yaani hadi international communities zilianza kumnotice yaani angeplay vizuri tu na kujibrand kiaharakati, watu wangeshangaa anaanza kupata coverage za platforms kubwa kubwa
 
Mbona wa madongo kuinama nimeelewa !!!!... Tabu sio kufika mjini ila ni kuyafuatilia ya mjini. Fide alikuwa maarufu kwa sababu ya kuwa model kibonge plus alikuwa video vixen pia hivyo, kwa mtu aliyekuwa anafuatilia ya zamani bhasi alimjua mange, tausi likokola, shose, senche,sintah, magesse, miriam ikoa, odemba, mercy galabawa n.k ambao ndo walitikisa kitambo kabla ya kuanza new reign ya madam sepenga na watu wake km uwoya wolper na wengineo
Kuna miss mmoja aliitwa Mbiki Msumi,, yukwapi?
 
Alimzingua mbaya hasa ile issue ambayo ilimuhusisha january. Yote kwa yote ila Mange alikuwa ashapata coverage kubwa yaani hadi international communities zilianza kumnotice yaani angeplay vizuri tu na kujibrand kiaharakati, watu wangeshangaa anaanza kupata coverage za platforms kubwa kubwa
ngumu sana kwa sasa itabidi aendelee tu na hiki alichokianzisha
 
Daahhh Mange angetulia na siasa asee angekuja kuwa mtu mkubwa sana ila ndio hivyo asili yake ya U-turn ndio inammaliza. Anapenda sana udaku lakini yupo vizuri upstairs. By the way kuna marafiki zake kama mwamvita sidhani kwa sasa wanaeza kaa meza moja maana ni different levels. Mange angefanya kutulia tu
Mwamvita level nyingine aisee
 
Back
Top Bottom