TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

R.I.P Misanya Bingi.

Jamaa alikuwa noma sana Radio one, kipindi kiliitwa CHEMSHA BONGO.


Nilijifunza Maswali mengi sana kipindi hicho niko Shule ya msingi.

Ilikuwa mtu akikosa swali anapigiwa Kipusa, hahahah.


R.I.P mzee Misanya Bingi
 
Lazima tunafahamiana wewe
 
Huyo Koku atakuwa wewe..[emoji16][emoji16][emoji3]
 
Namkumbuka miaka ya 1990's alikuwa kasimama kwel/i kweli na R1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…