TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Daahh time flies ni juz tu tulikua tunamsikiliza kwenye kipind cha chemsha bongo ( dka 3 mbele) leo hii mtu amefikia muda wa kupata stroke daah R.I.P Misanya na sisi tu nafata ndugu.
....hakuwahi kuendesha hicho kipindi
 
Mi kuna siku nimemuona sio siku nyingi saana....alikuja hapo migombani akawa hana raha full mawazo tuu afu kidogo kapungua! Hakukaa pale kaunta kama kawaida ake alikaa pale kwenye mpira!

Mara ya mwisho kumtia machaoni daaah!
Yeah wakati ule utawaona pale mgombani ama kile kijiwe kingine karibu na migombani wakiwa na Prof Mkenda wakipata kilaji.
RIP Misanya
 
Mi kuna siku nimemuona sio siku nyingi saana....alikuja hapo migombani akawa hana raha full mawazo tuu afu kidogo kapungua! Hakukaa pale kaunta kama kawaida ake alikaa pale kwenye mpira!

Mara ya mwisho kumtia machaoni daaah!
Tutakuwa tunafahamina sana... Unamjua Director Robert, Manager Koku,Counter Eliza na yule Jamaa aitwaye Tobi?
 
Mwenyezi Mungu ampe uponyaji
Keshakufa mkuu au nmesoma vibaya
Mungu ni mwema,atamponya
Wakuu mungu ampone marehem??
Tuna muomba muumba amu urumie na amponyeshe
Duuh jamaa c amekufa ndo habar imeandika ivo?
Mpe heshima yake Anaitwa Dk.Misanya Bingi.ugua pole Dk.Bingi
Kadanji mkuu
Oohh Mungu amponye
Duuh mkuu
Augue pole...Jamaa kumbe radio one tu ndio ametangaza na ndio pamempa umaruufu?..
Mungu amponye
Eeeh wakuu jau mbona mchizi kafa???
Au imeeditiwa hii habari??[emoji1] [emoji2]
 
Keshakufa mkuu au nmesoma vibayaWakuu mungu ampone marehem??Duuh jamaa c amekufa ndo habar imeandika ivo?Kadanji mkuuDuuh mkuuEeeh wakuu jau mbona mchizi kafa???
Au imeeditiwa hii habari??[emoji1] [emoji2]
Ime-Edit-iwa
 
Tutakuwa tunafahamina sana... Unamjua Director Robert, Manager Koku,Counter Eliza na yule Jamaa aitwaye Tobi?
Haaahaaa...koku[emoji23] [emoji23] mdada ana kifua kikubwa hivi!

Nikikutajia hapa na the way navyoingiaga pale lazima utanijua na wewe lazima nakujua!

Kuna kagroup ka wanaume mko wengi mnapenda kukaa pale kwenye mwanvuli karibia na jikoni nahisi ndo nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu kuna mzee mmoja matata pale anapenda kukaa pale kwenye boats na laptop yake anakunywa wine ya altar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Vyema kumtakia mtu apone, lakini mbona post inasema amefariki au hamtaki!
Pole kwa familia yake.
 
Back
Top Bottom