Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Pumzika kwa Amani Dr. Misanya
Imekua ghafla
Imekua ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo ni Qadar tu ya AllahHuu mwezi na ule uliopita kuna nini lakini
Ni makosa ya uandishi hajui wapi aweke h wapi asiweke, nadhani alimaanisha Mungu atamsaidia hiyo h ikapoteza maana.We boya kweli, sasa kafa umefurahi? Au we ndo uliyemloga?
Simjui huyoSio sawa na Kabudi
Huyu hapaSimjui huyo
OMG hawa ndo watu Rais anajivunia?Ni makosa ya uandishi hajui wapi aweke h wapi asiweke, nadhani alimaanisha Mungu atamsaidia hiyo h ikapoteza maana.
Basi anisamehe bure sikujua kama ni makuzi yakeMsamehe huyo ndugu nadhani hujamuelewa. Hakuwa na maana hiyo,Mimi mwenyewe mwanzo nilimuelewa vibaya nilipofatilia komenti yake nyingine nikagundua ana matatizo ya kisarufi. a=ha, ha=a, sasa akitakiwa akanushe cjui atatumia.
.....wala na Lissu !Sio sawa na Kabudi
Hivi Julius Nyaisanga alishafariki? Duh?!!
Alikuwa seminar leader wangu wakati huo kwa hilo hilo somoHuyu hapa mwalimu wangu wa social researchView attachment 867710
Mie juzi tu nimemuona Mlimani City, kapungua na kawa mweusi. Nilikuwa najiuliza ni yeye au ni watu kufanana ? .....aaah nikaona ya Dunia tu, nikaendelea na hamsini zangu.Mi kuna siku nimemuona sio siku nyingi saana....alikuja hapo migombani akawa hana raha full mawazo tuu afu kidogo kapungua! Hakukaa pale kaunta kama kawaida ake alikaa pale kwenye mpira!
Mara ya mwisho kumtia machaoni daaah!
Mbunge wa jimbo la Chemba dodomaR.I.P bro. Juma Nkamia yuko wapi
Maskini[emoji24] [emoji24] [emoji24] ....hii dunia very complicated sana!Mie juzi tu nimemuona Mlimani City, kapungua na kawa mweusi. Nilikuwa najiuliza ni yeye au ni watu kufanana ? .....aaah nikaona ya Dunia tu, nikaendelea na hamsini zangu.