TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Simjui huyo
Huyu hapa
IMG_20180916_093559.jpg
 
Msamehe huyo ndugu nadhani hujamuelewa. Hakuwa na maana hiyo,Mimi mwenyewe mwanzo nilimuelewa vibaya nilipofatilia komenti yake nyingine nikagundua ana matatizo ya kisarufi. a=ha, ha=a, sasa akitakiwa akanushe cjui atatumia.
Basi anisamehe bure sikujua kama ni makuzi yake
 
Dah. R.I.P Misanya Bingi.
Hakika familia yao ipo katika wakati mgumu sana.
DADA yake Misanya kafariki hata mwezi bado hujafika na yeye kaondoka. [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mi kuna siku nimemuona sio siku nyingi saana....alikuja hapo migombani akawa hana raha full mawazo tuu afu kidogo kapungua! Hakukaa pale kaunta kama kawaida ake alikaa pale kwenye mpira!

Mara ya mwisho kumtia machaoni daaah!
Mie juzi tu nimemuona Mlimani City, kapungua na kawa mweusi. Nilikuwa najiuliza ni yeye au ni watu kufanana ? .....aaah nikaona ya Dunia tu, nikaendelea na hamsini zangu.
 
Mie juzi tu nimemuona Mlimani City, kapungua na kawa mweusi. Nilikuwa najiuliza ni yeye au ni watu kufanana ? .....aaah nikaona ya Dunia tu, nikaendelea na hamsini zangu.
Maskini[emoji24] [emoji24] [emoji24] ....hii dunia very complicated sana!

Bora tujilie bata tu....what's the hell[emoji15] [emoji24]
 
Back
Top Bottom