TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Kweli, alikuwa hakosi pale Migombani. Muda umepita sikuwahi kumuona. RIP Misanya
Mi kuna siku nimemuona sio siku nyingi saana....alikuja hapo migombani akawa hana raha full mawazo tuu afu kidogo kapungua! Hakukaa pale kaunta kama kawaida ake alikaa pale kwenye mpira!

Mara ya mwisho kumtia machaoni daaah!
 
We boya kweli, sasa kafa umefurahi? Au we ndo uliyemloga?
Msamehe huyo ndugu nadhani hujamuelewa. Hakuwa na maana hiyo,Mimi mwenyewe mwanzo nilimuelewa vibaya nilipofatilia komenti yake nyingine nikagundua ana matatizo ya kisarufi. a=ha, ha=a, sasa akitakiwa akanushe cjui atatumia.
 
Back
Top Bottom