TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Kila nafsi itaonja mauti, na mwili kuurudia udongo...

Poleni wote mlofikwa na msiba...
 
Dah kazi ya Mungu haina makosa
Rest in Peace Misanya Bingi
 
Daahh time flies ni juz tu tulikua tunamsikiliza kwenye kipind cha chemsha bongo ( dka 3 mbele) leo hii mtu amefikia muda wa kupata stroke daah R.I.P Misanya na sisi tu nafata ndugu.
 
Duh, katuacha mapema.

Pumziko La Amani apate akifika huko.
 
Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us.

Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!

R.I.P Legend!
 
Kuna wimbo flani wa Fid Q anamtaja huyu Bingi, kuna mwenye picha yake,

Get well
Alikua yanki bado
IMG-20180916-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom