TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Niliumiaga Sana aliposimamishwa kazi kisa kahudhuria mitihani.

May His Soul Rest in Peace
 
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.
RIP MISANYA DISMAS BINGI!
P.
 
Apumzike kwa amani. Namkumbuka miaka ilee late 90s sabasaba, banda la Heineken alikuwa charming sana.
 
Nadhani huyu MTU Alioneshwa na Mungu kuwa Dr Hatapona Lakini ninyi mkaanza kukosoa Alichoandika, Aliandika Anachokijua.. Humu kuna manabii.
Hiki nadhani ni Kiswahili cha Usukumani tu... Alusha badala ya Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…