TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Nakukumbuka kama mtangazaji Radio one, pumzika kwa amani Dr.
 
RIP Dkt Misanya,
bwana alitoa,
Bwana ametwas
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas Bingi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupata na stroke na kupelekwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU).
 
Daaaah!
Buriani Dkt Misanya

Enzi hizo ITV2 na kipindi chake Cha vibe Kila weekend
 
Hakika sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea
 
Alikua Anaumwa Nini?
Wabongo Kama Kawaida Yetu Kutaka Kujua Ugonjwa
 
RIP Dr Bingi gone too soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…