TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Wadau za Jioni, Aliyewahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One enzi hizo. Misanya Bingi Anaumwa baada ya kupata na Stroke na kupelekea kulazwa katika Chumba cha uangalizi maalum Muhimbili. Wadau Tumuombee.
Mwenyezi Mungu amjaalie, apone
 
Kuna wimbo flani wa Fid Q anamtaja huyu Bingi, kuna mwenye picha yake,

Get well
Huyu hapa mwalimu wangu wa social research
IMG-20180916-WA0000.jpg
 
Dr Misanya Dismas Bingi amefariki dunia...
Dr Bingi wakati wa uhai wake kabla ya kuwa Chuo Kikuu Dar es Salaam aliwahi kuwa mtangazaji wa Redio.

Poleni sana wana UDSM idara ya Sociology and Anthropology pamoja na taifa kwa ujumla.
255717208223_status_9083ad9823b3e58bef89bcc65fd8b839.jpg
 
Back
Top Bottom