Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Lowassa angeweza kuwa mkuu wa kitengo hiki basi tungekuwa mbali sana. Huyu jamaa ni genius. Sisemu kuwa anastahili kwa sasa bali nasemea vichwa vizuri vilivyopo tz
 
badala ya kumshukuru kupata inside info wewe ndio kwanza unaponda!.
Ezekiel Kamwaga did his homework na amemtendea haki Dr.Kapilimba, amemtendea haki gazeti lake, ametutendea haki Watanzania na mleta uzi ametutendea haki wana JF!.

Big Up! .
Pasco
Hahaha...kumshukuru mtu kufanya kazi inayomlipia watoto Ada sio mazoea yangu mkuu.
Wala sina nyongo Na Kamwaga, ninachosema huwezi mzungumzia mtu kwa kirefu hivyo usonyeshe udhaifu wake, hata kidogo... Hiyo sio professionalism.... Ndio maana watu wenye akili wana hoji credibility ya uchambuzi huo...
Pengine alipitiwa, anyways fixed for the next time.
 
Makala ni fagilia! . Kwenye fagilia, unaeleza mazuri tuu!. Hata Magufuli umeishawahi kusoma makala ya madhaifu yake? .
Pasco
 
Makala ni fagilia! . Kwenye fagilia, unaeleza mazuri tuu!. Hata Magufuli umeishawahi kusoma makala ya madhaifu yake? .
Pasco

Huyu nae katoka 'taasisi'?
nasikia taasisi ina kitengo chake nacho sawa na kitengo kikuu
 
Makala ni fagilia! . Kwenye fagilia, unaeleza mazuri tuu!. Hata Magufuli umeishawahi kusoma makala ya madhaifu yake? .
Pasco
Hahahahaha...sasa hapo ndio tunaposhindwa kuwajua watu vizuri..,fagilia hizi zinatuletea mengi.... Wandishi wakongwe Kama nyie si busara Sana jujikita kwenye kueneza fagilia ambazo Mara nyingi Ni Kama mna m market mtu,....marketing personalities......hapo ndipo pabaya.
 
Huyu alikuwa "penetrator" TISS BOT. Sasa tunataka kujua mbivu mbichi za Escrow!!
 
Huwa sisomi hadithi mie,waliosoma hapo juu kwani wanaelezea nn
 
Mkuu Mirisho, media zetu nyingi ni media za 'kijungu jiko ', zinaendeshwa kwa 'hand to mouth' ili zi survive hivyo lazima zifanye fagilia sana badala ya critical analysis! . Kwenye hili la fagilia fagilia, hakuna chama u kongwe wote ni struggle for existence, and survival ni kwa fittest only!, the more unafagilia, the more una survive, ndio maana kipindi critical kama Kiti Moto had to die! .

Pasco
 
Mi naogopa vikoleo. Kazi njema but kifupi mwandishi anakila dalili ya kuwa in mwenzao. Ngoja tuone huyu kama atakuwa na viwango vile kama vya shirika la Kikatoliki la "Jesuit".
 
Mi naogopa vikoleo. Kazi njema but kifupi mwandishi anakila dalili ya kuwa in mwenzao. Ngoja tuone huyu kama atakuwa na viwango vile kama vya shirika la Kikatoliki la "Jesuit".
Wee usiniambie hawa jamaa nao ndio wale wale aise, Ma Jesuit ni mashushu?!
 
Wee usiniambie hawa jamaa nao ndio wale wale aise?!
Uwiiiii hao sio mchezo ni hatariii. Yawezekana ndio wanaongoza. Angalia kwenye rank za ujasusi za Dunia hawatajwi sana ila ni abstract leading intelligence system(Ref. Dr Slaa).
Wapo kila sehemu hao na kila serikali Duniani kwa kofia ya dini yoyote.
You mes with the Church's interests easier to be uprooted by any how....
Uwa kujiuzuru kwa kiongozi mmoja humu kunahusishwaga sometime na ukachero wa Hawa.
Any way mengine tuwaachie wenyewe.
 
Umeniogopesha mkuu maana hawa watu niko nao karibu sana lakini upande wa kidini tu, haya mengine sikuwahi kuayafikiria kwao!
 
Kwa
Kwa hiyo watu hawatang'olewa kucha tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…