Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Ni msomi mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikuhizi hayo siyo muhimu sana eti TISS sharti ujue ngumi,Mkuu umeonaa!watu wanataka mtu aliyeshapitia mafunzo ya kijeda,ashapigana,vita,ser n'a blak belt,ashaenda sana kwenye course cuba,Israël,marekani,north korea....awe ngangali......Kama putinnn
Ova
Wanasahau kuwa ulinzi wa sasa umekuwa wa kitaalam zaidi. Ni teknolojia ndiyo inayotumika na huyu aliyeteuliwa ndiye mtu sahihisikuhizi hayo siyo muhimu sana eti TISS sharti ujue ngumi,
wanaotakiwa kujua kareti ,mateke etc ni wale watu wa legwork a.k.a field,sasa mtu wa ofisini kungfu za nini.?
Waangalie Wakina putin n'a mkuu wa mossadsikuhizi hayo siyo muhimu sana eti TISS sharti ujue ngumi,
wanaotakiwa kujua kareti ,mateke etc ni wale watu wa legwork a.k.a field,sasa mtu wa ofisini kungfu za nini.?
anaweza kukutrace kupitia hiyo ID yako ndani ya sekunde tuMtaalamu wa Computer na mambo ya usalama wapi na wapi
Sijapinga cv yake Ila aongeze na sifa zangu nlizozitajaaa ......Wanasahau kuwa ulinzi wa sasa umekuwa wa kitaalam zaidi. Ni teknolojia ndiyo inayotumika na huyu aliyeteuliwa ndiye mtu sahihi
Dunia sahv lazima uwe ngilimaaaa kutetea nchianaweza kukutrace kupitia hiyo ID yako ndani ya sekunde tu
Hahaha, yaani hili jukwaa burudani kwelikweli! By thevway inakuwaje bosi usalama wa taifa hana mafunzo ya kijeshi, na kiusalsma kwa ubobezi kabisa? Au kuwa na utaalamu wa usalama wa computer dystems inatosha?Ana degree ya nini..?,computer knowledge,
computer science,computer engineering au computer maintenance?
Kwani wataalamu wa usalama wanataaluma gani!!?Mtaalamu wa Computer na mambo ya usalama wapi na wapi
Mafunzo ya kijeshi na ukomandooKwani wataalamu wa usalama wanataaluma gani!!?
Ni kweli usemayo lakini kwa upeo wangu mdogo alifaa ateuliwe miongoni mwa waliokaa kwenye idara hiyo na waliokubuhu ktk masuala ya upelelezi hasa ktk nyanja za kimataifaMkuu, uliwahi kuona mtu anaelezwa wasifu wake wa ki TISS TISS? Binafsi sijawahi kuona hata siku moja. Hata huyu aliyemaliza muda wake naye sikuona wakati anateuliwa kushika wadhifa huo
Intelligence na jeshi ni vitu tofauti ingawa jeshini ni lazima upate mafunzo ya intelligence pia!!Mafunzo ya kijeshi na ukomandoo
Ni kweli usemayo lakini kwa upeo wangu mdogo alifaa ateuliwe miongoni mwa waliokaa kwenye idara hiyo na waliokubuhu ktk masuala ya upelelezi hasa ktk nyanja za kimataifa
AsanteUsilolijua ni kama usiku wa giza.