Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hujui chochote wala lolote.Unaijua historia ya Ndui?Unaelewa kuwa Babu zetu walichanjwa chanjo ya Ndui?Hayo machanjo ni uchafu mtupu acha kujidanganya wewe!
Bibi na babu zetu wameishi miaka kwa miaka hawakudungwa hayo machanjo uchwara lakini walikuwa imara na madhubuti.
Wewe ukiugua kidogo tu unatega makalio unataka kudungwa michanjo ya ajabu ajabu.
MAKINIKA bwana mdogo!
Gwajiboy alipambana na Mako enzi za MaguNaibu waziri wa afya mr Molleli amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha watanzania.
Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.View attachment 1894702
Huyo Dr Molel na Rashid Gwajima wote hawajielewi.Mollel Ni serikali,kwa hiyo serikali Ni ndogo kuliko Gwajima?
Sasa kwa nini wanasubiri kufanya hivyo ilihali nongwa zimekuwa nyingi mtaaniSerikali kuthibitisha Ni rahisi kuliko Gwajima
Gwajima anajua kucheza na wakati,anajua bunge halimgusi linapiga siasa za kutoeleweka vibaya kwa Bishop Gwajima,anajua CCM haitamgusa licha ya kumfokea kwenye vyombo vya habari.Naibu waziri wa Afya anaefanya Kazi nchi nzima anakuwaje mdogo Kwa mbunge tena wa kijisehemu!!...tuwe tunafikiri wakati mwengine!!...Gwajima ambae amebebwa tu tena na mtu hata chama hakikumpitisha tuwetunafikiria hata kidogo
Kwenye siasa usiwaamini watu walio nyuma yako.Gwajima akishushiwa Rungu walio nyuma yake wote watapotea.Wanasiasa wa Tanzania wengi wao sio wasafi hivyo Hakuna ambaye huwa yupo tayari kushindana na mamlaka.Ukiwa mjinga utakubali kutangulizwa mbele.Mambo ya kutangulizwa mbele muulize Fred Mpendazoe,James Lembeli na Lowasa wanajua sana.Usitegemee kabisa mtu anayekutanguliza mbele,mwambie wote muende kwa pamoja sio kutangulizwa mbeleUnapoona mtu anatembea kifua mbele ujue nyuma yake ana nguvu kubwa
Siyo J&J watu wamekufa pamoja kupigwa chanjo. Hata hapa nchi kuna wadosi wamevuta pamoja na kumkimbilia chanjo. Ni Mungu tu atunusuru.Chanjo imefanikiwa kupambana kwa kiwango kikubwa sana na magonjwa hatari ambayo yalitishia kumfuta binadamu katika uso wa dunia kama vile ndui,surua,ebora na kadhalika.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziita chanjo kuwa ni uchafu.
Kweli Gwajima kawaokota wengi,frankly speaking sijui kawapa nini aisee...total brainwash...poleni sana, imebakia awaambie muanze kutafuna nyasi kama yule mwenziwe wa Afrika Kusini.Huyo Mollel ni bwana mdogo sana kwa Gwajima na hawezi kumfanya kitu
Mollel katupiga sound
Angekuwa hapendi mikiki Mbowe asingekuwa Ukonga muda huuGwajima anajua kucheza na wakati,anajua bunge halimgusi linapiga siasa za kutoeleweka vibaya kwa Bishop Gwajima,anajua CCM haitamgusa licha ya kumfokea kwenye vyombo vya habari.
Anajua Waziri wa Afya Dr Gwajima hawezi kumuwajibisha kwa kuwa ameshindwa kupanga mashambuli ya nguvu ya hoja.Pia anajua Raisi SSH hapendi majibizano,na hapendi mikiki.
Mpambano wa sasa hivi unagusa state moja kwa moja.Ngoja tuone Kama Gwajima atatoboa safari hiiGwajiboy alipambana na Mako enzi za Magu...
ni mzoefu wa mapambano ya aina hii
Kwani hawajathibitisha?Sasa kwa nini wanasubiri kufanya hivyo ilihali nongwa zimekuwa nyingi mtaani
Tuachie mahakama,harafu tuje tujiridhishe kama unayosema ni kweli au hapana.Angekuwa hapendi mikiki Mbowe asingekuwa Ukonga muda huu
Unaelewa maana ya efficacy katika sayansi ya chanjo?Sasa kama efficacy ya chanjo ni asilimia 70 kwa nini baadhi ya watu wasife ambao wamepata chanjo hiyo?Siyo J&J watu wamekufa pamoja kupigwa chanjo. Hata hapa nchi kuna wadosi wamevuta pamoja na kumkimbilia chanjo. Ni Mungu tu atunusuru.
Ni hivi Gwajima asijisahau akavuka Mstari.Akivuka Mstari mtamhurumia huyo GwajimaTuachie mahakama,harafu tuje tujiridhishe kama unayosema ni kweli au hapana.
Unaongea kama mtu aliechanganyikiwa.Kasome historia ya gonjwa la Ndui.Labda babu zenu mabeberu, lakini sio mababu ninaowajua mie.
Kula mizizi, majani, matunda, mambo safiii kabisa.
Sasa nyie kukohoa kidogo tu tayari ushakimbilia kudungwa uchafu.
Mwili haukuumbwa kwa ajili ya machanjo ya ajabu ajabu.
There is a natural mechanism installed by God in the body to fight off diseases!
Kula matunda wewe acha kuhusudu machanjo ya mabeberu hayakusaidii kitu.
Acha ujinga, ya Askofu mkuu alokula maharagwe mbona aliomba puunajua hata hili pia gwajibwai ataibuka mshindi
maana huyu jamaa hajawahi kushindwa vita vyovyote vile