#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Serikali ina hoja za kimwili zenye uthibitisho wa kisayansi, Mch. Gwajima ana hoja za kiroho tena mbele ya waumini wake. Sasa hapo hapo mambo ya kidunia na ya kiroho yanapatana vipi!?
Gwajima hana lolote kwanini hakumuombea mwendazake mpaka akafa kwa corona?
alikuwepo mbishi kama Mama Rwakatere Askofu na mmiliki wa mashule kibao akafa kwa corona?
chungeni sana kina Vibwetere ndio wanarudi wataliangamiza Kanisa lake sasa hivi lkn sio Watanzania werevu
 
Hahaha!!!

Nao serikali wataulizwa swali dogo tu, wathibitishe kama katika huo muda tajwa na Gwajiboy, hizo chanjo hazina madhara...
Actually anachotakiwa kufanya ni ku print ile fact sheet ya manufacturer ya hii chanjo ya Jensen. Ipo public kwenye website ya FDA. Kule wako wazi sana kuwa haijapitishwa na FDA, haijulikani inamlinda mtu kwa muda gani na iko kwenye clinical trial (japo hii wamejaribu kuificha kwenye wording).

Pili apate copy ya form ya chanjo awaulize kwa nini liability iko kwa mchanjaji?
 
Msikilize vema Gwajima
 
Huyo jamaa anaongea tu lakini gwajiboy hawawezi kumfanya chchte hata kumvua ubunge hawawezi...
 
Nachojua ni kuwa ni mfuasi wa masheitwan
Anaweza kumpa pigo moja Moleli asirudie tena kelele zake, yeye anaiita "single touch double manifestation"
images (1) (28).jpeg
 
Back
Top Bottom