Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Shahidi wa kwanza ni yule aliyekuwepo kwenye tukio.

Dereva lazima akamatwe aeleze
Wangekufa wote nani angekuwa shahidi. Sitaki kuamini kuwa polisi wetu ni makanjanja hawawezi kufanya uchunguzi .

Ninachoamini ni kuwa wanaowalipa mishahara ndio wahusika wakuu kwenye lile tukio hivyo hawana uthubutu na huo ndio ukweli. Period.
 
Jeshi la Polisi kazi kwenu. Hatimaye amejitokeza mtu anayesema anafawahamu waliopanga njama za kumwua Lissu. Wasimwachie Dk Mollel hivi hivi. Lazima wamuhoji, la sivyo hatutawaelewa!
 
Amsterdam amejulishwa hii kitu?
 
Hiyo tulijua mapema kuwa ni movie ya kihindi iliyokosewa kusanifiwa
 
Baada ya kuongea haya mataputapu yake akazawadiwa unaibu waziri sio. Amekaaga kama alitakankuwa taahira.
 
He is retarded. CHADEMA ndio walioondoa walinzi na kamera? Si awape huo ushahidi wanaohangaika kujisafisha? Kweli kuwa ccm ni lazima uache kufikiri kabla hujaongea au kutenda.
We unaushahidi kama walinzi waliondolewa amaunalopokatu, akilizako zinatosha kuzungusha mikono juutu.
 
Acha ujinga, mleteni derevawenukwanza kwanini mnamficha amamnajua ata mwaga mchele.
 
Acha ujinga, mleteni derevawenukwanza kwanini mnamficha amamnajua ata mwaga mchele.
Liwagu akili yako ni tegemezi. Huwezi kufikiri kama wewe. Unajiaibisha kuendelea kuandika.

Ukiwa kimya watu wanaweza wasijuwe kuwa wewe ni mjinga
 
U
Liwagu akili yako ni tegemezi. Huwezi kufikiri kama wewe. Unajiaibisha kuendelea kuandika.

Ukiwa kimya watu wanaweza wasijuwe kuwa wewe ni mjinga
Ujinga ni kumficha mtualie shuhudia tukio kwa machoyake ili aelezee frankly, kitugani kilitokea sikuile.
Unajuaje kama na yeye ni muhalifuje, kama sio muhalifu kitugani kinamfanya asijitokeze.

Kusema eti kama asingekuwepo ingekuwaje wakati mtu yupo ni upuuzitu.

Msifikiri kilamtu akilizake nifupi kama zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…