Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

chadema sio watu wazuri kabisa
Mbowe aliwahi kupanga kujirushia bomu huko Arusha kwenye mkutano wa hadhara ili ionekane polisi walitaka kumuua
 
Huyo amwage siri adharani kama kidume kweli mbona analeta mambo kama ya musiba bla bla bla
 
Halafu CCM walivyokuwa na roho mbaya wangekuwa wana ushahidi wa kuwa implicate Chadema na ajali ya Wangwe au assassination attempt ya Mheshimiwa Lissu wangefanya sherehe.

Imagine binti yetu Akwilina wamemwua wao lakini kesi wamewabambikia Chadema. CCM ni wafuasi wa Lucifer!
 

Kweli ujinga ni gharama! Hivi huyu bwana anatambua implications za hiyo kauli yake? Kwa sasa anaongea kwa ushabiki ili apigiwe makofi na upande fulani, ila akumbuke kuwa kipande kitakapo geuka na shambulo la Lissu kufanyiwa uchunguzi yakinifu atakuwa amejivika kitanzi mwenyewe!
 
Lissu anasababisha mtifuko.. Magogoni hapakaliki..
 
mzee kweli ccm muwe na data za mabaya ya upinzani kweli itapita hata sekunde dunia haijajua!!!😆😆😆😆😆tena kwa ishu kama ya lisu ambapo hadi balozi kaomba poo! kweli!!!
 
Huku ni kuweweseka kwa kiwango cha lami? Kuukalia/Kuuficha ushahidi si ni kosa la jinai? Polisi wanasubiri nini kumlazimisha kutoa ushahidi alionao?
No wonder Lissu hana mpango wa kuja kwa sasa ili muumbuke kwanza kwani takataka hizi za kupikapika wanywa mataputapu wanaweza wakaziamini, ila haitasaidia na hatimaye wahusika wataumbuka tu no matter how long it'll take.
Nimejikuta natabasamu yaani, Lissu angekufa siku ile ya shambulio viongozi wote wa juu wa CHADEMA wangekuwa ndani kwa kuhusishwa na lile shambulio na propaganda ambazo zingetumika kuna baadhi ya mambumbumbu wangeamini, it's bloody too late now.
 
That means Chadema wana nguvu kushinda serikali kama wana weza kufanya matukio ya mauaji na wasikamatwe basi hata raisi hayupo salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani sasa polisi wamepata pa kuanzia. Kama hawatachukua hatua ni wazi wanajua ukweli na wanamwona huyu bwana ni kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Qwy

Wapumbavu ndo watakubaliana na upuuzi wa huyo mbwiga mollel, mmasai asiye na akili , poor him
 
okay ila wa kule kanda ya ziwa wapo vizuri halafu wana roho nzuri sana, wacha Mungu hadi makanisani huwa wanalia kabisa
Sasa mbunge anakiri wizi bungeni bila hata chembe ya aibu?......hawa ndio wanaonajisi bunge letu!
 
Yaani siku zote hizo alikua anajiamuoia kakaa kimya.

Ukisikia watu wanafanya dangerous kick ndio huyu. Hajui madhara ya kauli yake lakini pia anakoenda kwenye position mabaya Sana.

Pole Sana daktari wa mifugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…