Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) Adai Mpango wa Tundu Lissu Kupigwa Risasi Uliratibiwa na CHADEMA Wenyewe. | MPEKUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
akawaripoti kwa Siro wakamatwe upesi!!

#mollelkimeo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hv alipigiwa makofi Na wajumbe Wote. Huenda Hata Mbunge wangu mccm naye alishangilia hili. Halafu Dr huyu jamaa..
Siku zote HIZI Alikuwa wapi mzalendo huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waling'oa ndio kwani chadem wameuwa wangap chacha.mtema.ben

bora utulie na njaa yako ya haja
Hitimisha basi kwa kusema kuwa, polisi inawaogopa chadema ndio maana wahusika wa mauaji yote uliyoyataja hakuna mwanacdm hata mmoja aliyehojiwa na kushtakiwa!! Kwa maneno mengine unaidhalilisha serikali na dola kwa jinsi wanavyowaacha cdm kufanya mauaji si ndiyo?
Hivi mnadhani kuwa maandiko yenu yanasaidia kuondoa tatizo kumbe mnaliongezea tatizo nguvu! Jitafakarini sana enyi wanafiki mliojazana huko ccm kwani mnakichafua chama na serikali japokuwa mnalipwa buku saba!
Kwa akili yako tafsiri uliyoiandika unadhani ni nzuri kwa wenye akili? Jitafakarini sana enyi watu!
 
waling'oa ndio kwani chadem wameuwa wangap chacha.mtema.ben

bora utulie na njaa yako ya haja
Wewe limbukeni, cdm wanawezaje kung'oa kamera kwenye nyumba ya waziri ambazo ni zake mwenyewe bila waziri kuchukua hatua?
Kweli mmevurugwa haswa mithili ya rojo la kinyesi! Na kama hujui kitu basi usiandike kwani humu jf siyo jukwaa la wazushi!
 
Back
Top Bottom