LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.

Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana hasa anaposimamaga na mama Gwajima. Kumbe ndio zumbukuku kiasi hiki.

This sounds more like boasting and pompous character. Haiwezi kuwa campaign.
 
Ukitazama kauli za wanasiasa kwa wapiga kura wao ndipo unagundua ni kiasi gani wanawaona ni wajinga na wanaweza kuwambia chochote.
Si kwamba hajui, ila anawaona wote hapo ni wajinga.
 
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.

Kweli tunaishi kwenye jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo muda wowote unapotaka kufanya hivyo

We are leaving in a society that can be brainwashed at will
 
Ukitazama kauli za wanasiasa kwa wapiga kura wao ndipo unagundua ni kiasi gani wanawaona ni wajinga na wanaweza kuwambia chochote.
Si kwamba hajui, ila anawaona wote hapo ni wajinga.
Mimi hapo huwezi kunikita😄 i would beat the shit out of him. Yani watu wanaimbishwa na upumbavu kabisa eti "sema dkt Mollel Pesa😁"
 
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.

Friends, ladies and gentlemen,
CCM ndiyo chama Tawala kinacho jenga nchi yetu Tanzania.

Kudumu Chama Cha Mapinduzi 🐒
 
1732394071635.jpg
 
Back
Top Bottom