Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Bora GB ,yeye huyu Mollel ubongo wake una KB kabisa,ubinafisi unamsumbua huyu Mollel,Lissu yuko kupambania masrahi ya wengi ila huyu Mollel yuko kupambania tumbo lake kwa kumsifu mzanzibar licha ya kwamba huyo huyu mzanzibar anatugandamiza watanganyikaNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
View attachment 3328002
Ni udhihirisho kuwa hana akili bwasheeMolldl muundo tu wa kichwa chake ni Burudani tosha 😂i
Kama kaukwel hiv sijui lkn kwa ile ripoti ya EUNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Nyingi mno fanya Byte 62Kwa hicho kipara basi yeye Mollel ana MB 6
Zote hizo za nini? Sema ana 2kbKwa hicho kipara basi yeye Mollel ana MB 6
tutasikia mengi mwaka huuNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wa wake una GB chache, na ni mtu mwenye r