Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Tangu lini mtu mwenye OQ ndogo akasoma Vitabu na kuzijua sheria na Falsafa za Dunia nzima na mikataba yote ya kimataifa iko Kichwani .
Kifupi Tundu Antipas Lisu ni kama Google ya sheria .
Kwa Tanzania na Afrika hii hata Dunia nzima kwa kizazi hiki hakuna mtu wa kufikia kariba ya Lisu kwenye siasa za kitaifa na kimataifa na uelewa wa historia za dunia katika kupigania haki.
Lisu ni mtu aliyekuja mbele ya wakati .
Lisu Alitakiwa aje enzi za kupigania Uhuru lakini Mungu akajua kuwa kuna Shetani atakuja kupoteza uhuru na haki katika Taifa hili. Mungu akamweka akiba kwa ajili ya zama hizi za watu wabinafsi na wabaya kuliko wakoloni .
Hivi ni nani Mwenye Roho mbaya kati ya yule anayemshitaki mtu kwa uongo tena mtu ambaye wamempiga risasi 16 na nyingine iko mwilini na yule ambaye hata kwenda kumsalimia tu gerezani ameshindwa .?
Moleli zama zake zinakaribia kuisha wamelifukarisha sana taifa hili kwa uchu wa madaraka .
Nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania lakini wanawafilisi wagonjwa wa figo na kisukari kwa sababu ya biashara zao za madawa na hospitali zao binafsi .
Wana wa majoka na mbwa mwitu wakali .
Dunia nzima inajadili Tundu Lisu na sio hao waovu . Wamejaribu kumuua Padri Kitima kwa sababu ya roho zao za kishetani na elimu zao za wizi wa mitihani na madesa yadiyolisaidia Chochote taifa hili zaidi ya biashara ya siasa na kuuza roho za watu.
Ni Reform no Election imewatoa pangoni majoka yote kama moshi wa pilipili na tairi .
Xhenxi sana.
Kuna WATU wanapata uwaziri kwa sababu ya uchawa na sio sifa ya kuwatumikia watanzania na kuja na mipango na mikakati bora .
Ndio waliowadanganya G55 kwamba wanakubalika kuliko Tundu Lisu.
Mtu mwenye akili ndogo angeweza kumwangusha Mbowe kwenye Uenyekiti ?
Samia mwenyewe na pesa zake na madaraka teke hawezi kumshinda Lisu Sembuse huyo Mmasai Koko aliyeshindwa kuwatetea wamsai wenzeke walipotaka kufukuzwa nchini kwamba ni wakenye kwa Shinikizo la Shehe Mwaipopo. Kama sio Lisu leo wamasai wangekua wanafuga ndevu kule Kibera Kenya .Na angefuata yeye maana hata Mlima wa Kilimanjaro watapewa Waarabu watunze mazingira .
Jinga kabila halijui kuwa Kule siha ni hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na Mbuga za West Kilimanjaro na mpango wa Tangu Mkoloni ilikua ni kuwahamishia Wachaga Kule Katavi na Mpanda bahati nzuri Mariale alikua anajua kusoma Kiingereza na kunasa waraka wa Wazungu miaka hiyo na kuhamasisha mgomo .
Lisu size yake sio huyo mpumbavu mbinafsi na mfanyabiashara wa siasa ,anayepata ubunge wa kupewa kwa sababu hana madhara kwa watawala wabovu.