residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Kama wewe ni mkewe, mama yake au kimada wake, basi hakika unaweza kuwa na uhakika huo wa asilimia mia.Hilo la Lissu kuwa na roho mbaya sana nina uhakika nao kwa asilimia mia.
Kama wewe ni mkewe, mama yake au kimada wake, basi hakika unaweza kuwa na uhakika huo wa asilimia mia.Hilo la Lissu kuwa na roho mbaya sana nina uhakika nao kwa asilimia mia.
Ndio Mimi ni mkewe au kimada.Kama wewe ni mkewe, mama yake au kimada wake, basi hakika unaweza kuwa na uhakika huo wa asilimia mia.
Haya akili ya Corona ya Mollel ni GB ngapi na akili ya Lissu No Reform No Election ni GB ngapi.....!!!???View attachment 3328020
Huyo ni comedian hapo ameamua kufurahisha hiyo media inayofadhiliwa na Lumumba.
Uzuri wenye akili timamu tunamjua nani ana uwezo mdogo kuliko mwenzake.
View attachment 3328020
Hiki ndio kiazi kabisa the big zero ktk ubora wake.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Huyo kibabu Medulla Oblongata ilishaoza hvo hata ile KB au B pekee haipo 😀tutasikia mengi mwaka huu
huko CCM mwenye GB nyingi ni WASSIRA eti!
Kweli Coca nalijua sana hili jinga😂😂😂😂
Wee em sema kweli?!Kweli Coca nalijua sana hili jinga
Tumekaa bweni mmoja huyo fala, amesima akiwa mzee.Wee em sema kweli?!
Tumelifunza kiswahili, lilikuja hata kuongea ni shida tena akiwa f5😂Wee em sema kweli?!
😂😂😂😂😂Tumelifunza kiswahili, lilikuja hata kuongea ni shida tena akiwa f5😂
Wewe Mollel ni fala wa kutupwa, mshenzi na mpumbavu namba moja. Sijaona Mmasai mjinga kama wewe, jilinganishe wewe mwenye degree ya kuunga unga kama ya dada yako Samia na Lissu mwenye degree inayoeleweka nani mjinga mwenye Kb ndogo......Jibu ni wewe Mollel, mshamba na fala wa mwisho.Unasherekea watu kuuawa ovyo na huyo Samia wako? Hivi wewe una akili kweli?Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
The idiot is obvious. Evidently clear.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
😂😂😂😂😂Jamaa huyo alitakiwa awe mchekeshaji. Ukimwangalia sura yake na kichwa tu tayari umecheka.
Sasa hapa kati yake na TAL ni yupi mwenye GB chache upstairs?Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
ccm imechanganyikiwaYuko sahihi. Mimi nimeshasema long time ago kuwa lisu ni ni Mr dish limetilt. Kuna mahali sikurubu zimelegea.