Kuna wakati mwingine kiongozi kama hauna la kuongea ni bora tu ukanye au ukae kitini bungeni ukiangalia sinema za X.....sasa hapa nani akili yake ina low GB? Tunahitaji mtu anayejitambua kama Lissu ili kushikisha adabu hawa viongozi wa CCM na makuwadi wao.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
subiri dawa ikuingie drNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Huyu jamaa ni Dk. lakini ni kama kichwani kwake hamnazo na ndiyo maana nywele zake zimeungua. Sijawahi kumuelewa hata siku moja namuona kama kituko tu.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Huyu mbona hata kwa muonekano na muundo wa kichwa chake yeye hata huo ubongo hana kabisa. Ni mtu mmoja mwoga sana akiwepo boss wake anatetemeka hawezi hata kujenga hoja,huyu ni dume suruali kabisa.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Hajawahi kuwa na akili yule kibaraka ila nyumbu zake Sasa humu zinavyomuimba ni shida tupu.Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Kipi kinachoendea? Bwana kutetea kibaraka wake Kuna au ajabu hapo?Ili ujue Lissu ana IQ kubwa na Yuko mbele ya yao tazama mambo yanaoendelea Katika siasa za ndani na nje ya nchi (Diplomatic) mwamba alichanga karata vizuri kabla hajaanza utekelezaji wa NRNE...Inahitaji sana upeo mkubwa kumshinda Lissu, na ndani ya CCM sijaona mtu sahihi anayeweze kumshinda kiakili.
Kauli ya kijinga lazima ichukuliwe Kwa hasirs sababu imetolewa na mtu mjingaWakuu
Mbona kama hasira zilo Karibu sana?
Kivipi mnachukulia kauli ya Mh Mollel Kwa hasira hivyo?
Sasa huoni borh wanakua wajinga?Kauli ya kijinga lazima ichukuliwe Kwa hasirs sababu imetolewa na mtu mjinga
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
UNAWEZA KUFANYIKA UJINGA KATIKA TAIFA, AKAJA KUINGIA KIONGOZI HATARI KULIKO HITLER, WOTE WANAOMUUNGA MKONO WAKAJA KUJUTIA, LAKINI ITAKUWA TOO LATE, LET PLAY LOW LOL!Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
TOFAUTISHA WALIOKAA NAYE KWA KARIBU, NA NYIE MNAYE MSIKILIZA MAJUKWAANI, #TUNDU LISSU NI MNYAMA HANA, UTU HATA KIDOGO WALA SHUKURANI, POSIBLY NI MVUTA BANGEH.Huyu ni mbwa kama mbwa. CHADEMA ndio kwanza imepata uhai
Kwanza mtu anaesoma vitabu muogope.
Huyu mollel IQ yake ni Zero IQ
Unataka kuchumbia? /uzuri unafaida gani kwa taifa letu.Nje ya Mada kidogo,
Hivi Mollel na Lissu Nani handsome,kabla hatujaingia indeep
Unafananisha ndizi na ndimu ? Mollel huyu anaweza kutumika kumtishia mtot anyamaze Kwa kuogopeshwa?? Huyu nyang'au ana roho mbaya kama lisura lake anachafukwa sana Hana wa kufananishwa naye Kwa roho chafuNje ya Mada kidogo,
Hivi Mollel na Lissu Nani handsome,kabla hatujaingia indeep
Huyu mwezi mchanga.....waziri huwezi ongea upuuzi upuuziNaibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.