Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

Kipi kinachoendea? Bwana kutetea kibaraka wake Kuna au ajabu hapo?

Harafu hata kipindi Cha Jiwe walijadili hivyo hivyo Kuna jipya Chadomo na Lisu walipata?
Hahahaha,,, kwani mchanga hausafirishwi nje? kwani hatujalipa faini? kwani Magufuli hawajamla kichwa?
 
TOFAUTISHA WALIOKAA NAYE KWA KARIBU, NA NYIE MNAYE MSIKILIZA MAJUKWAANI, #TUNDU LISSU NI MNYAMA HANA, UTU HATA KIDOGO WALA SHUKURANI, POSIBLY NI MVUTA BANGEH.
Mfano ni mingi sana, ona gharama za shukurani alizomlipia Rais wetu!
Qummaar wewe
 
Back
Top Bottom