Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

nisamehewe kwa hili
huyu jamaa huwa namwona kama mgonjwa wa usonji

kwa matamshi yake haya nimejidhihirishia navyo muona niko sawa sawa
Na ndiyo reflection halisi ya watu waliomchagua. Mpaka TL kufikia kusoma vitabu vingi means uwezo anao.
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

No wonder!
 
Hapana, huyo ana 2kb kwani 1mb ni nyingi sana tena sana.
Kasema kwa kinywa chake mwenyewe kwamba alikuwa huko kabla ya kwenda kule. Toka 2015 hadi 2020 alikuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya Chadema. Akahamia CCM mwaka huo wa uchafuzi na kupewa Ubunge na kuzawadiwa hiyo nafasi aliyonayo kwa sasa. Anajiita Dr. lakini ukweli yeye ni Physician tu kwani kama tujuavyo hata AMO hutaka wapewe title hiyo. Tusubiri tuone nini kinaendelea. Mtu mwenye busara hapaswi kutukana watu waliomlea akafikia hapo alipo.
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.

Nikifurahi kipindi kile cha JPM ulipomuombea apate CORONA na ikawa hivyo ila kwa ili umeonyesha ujinga wako

Hebu angalia hizi clip mbili ni za sekunde chache tu halafu useme nani kati ya hawa mwenye ubongo tumamu.

Lissu 👇

Molel👇
 
Nalijua hili tangu liko Minaki high school, limesoma likiwa lizee, lilikuwa lichafu sana na halijawahi kuwa na ushirikiano na wenzake.

Lina roho kutu hatari
😂😂😂😂
 
Yani mwaka huu tangu Lissu awe mwenyekiti burudani ni nyingi asee.

Mollel mwenyewe kichwa chake kina kb ngapi kwanza? Huyu si ndiye aliempasua mgonjwa goti badala ya kichwa?
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.

Unaujumbe wako kutoka bunge la ulaya.

Wewe si naibu waziri Afya unaishauri vipi serikali ya Tanzania kuhusu ushoga?

Mnamshambulia Lissu ana akili dogo kweli wakati wewe unaandika barua na kushawishi vijana wa CCM kujiunga na mashoga?

Lissu kawaumbua. Mwaka huu mnalo vijana wote nduki. Na wazee sidhani kama mtawaona.
 
KUna ujumbe wako kutoka bunge la ulaya.

Back
Top Bottom