Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

Huyu mkoma anatakiwa ahojiwe alimuombea Magufuli apate corona na kweli ikampata
Hiyo medis iliyomhoji inachukua fungu kutoka ofisi ya Msigwa kupromote propaganda ndio huo upumbavu hapo wanamhoji eti anasema ana uwezo kuliko Lissu.

Yaani pesa za walipa kodi zinatumika kutengeneza vimedia uchwara kueneza propaganda za Lumumba.
 
Yaani mpaka hapo tushajua nani kichwani kaweka sambusa za nyama.
 
Huyu ni muongo binadamu ana storage capacity ya 2.5 petabytes yaani 2.5 million megabytes kwasasa hakuna computer inayo fikia hiyo storage capacity ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom